Nadhani ni haki yake kujiuzulu,na sidhani kama ni pigo kwa chama chake! Katika kila chama kila mtu ni muhimu,alikuwepo mwalimu nyerere na sote tulidhani ni muhimu sana katika nchi yetu,mwalimu alifariki na nchi ikiwa katika ufisadi mkubwa na hali hiyo in aendelea hadi leo.Nadhani cuf wanaweza...