Recent content by Rangoo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tujuzane mbinu za kichawi na namna ya kuziepuka

    Naona Wakuu Hamjamuelewa... Kuna Mimea na Mbinu za Asili ambazo Mungu ameziweka Kupambana na Hawa Viumbe waovu kwahiyo huko pia ni Kutumia Nguvu za Mungu Hata Yesu Alitumia Tope akampaka Kipofu machoni Baadae akaona. Unahisi alishindwa kumwambia Tu ona
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jina la Prof. Maji Marefu lilivyopatikana

    Na uprofesa kautolea wapi
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

    Tatizo Wanawake wengi hasa wale wa Chuoni hawaoni Mbali wanaona Wakiwa na kota tu kila siku ni Photoshoot na Kuweka Instagram kutafuta Danga Litakaloingia Mkenge ili Atrend kwa Lifestyle kitajiri
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni lugha tu iliyosababisha Mnara wa Babeli kutojengwa?

    Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ulikuwa mji wa kwanza uliojengwa baada ya gharika kuu. Binadamu waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyechanganya lugha ya watu ambao hivyo walilazimika kuachana baadaye bila ya kukamilisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania UEFA champions league : Coincidence au ni kweli dunia inaendeshwa na binadamu..

    Hapa Kuna Kitu.. Ila Ukiweka ushabiki pembeni kuna Asilimia fulani Matokeo hupangwa kabisa kwa maslahi ya kibiashara maana Sasa Hivi watu hawachezi kujifurahisha tu ila wanaangalia Pesa ipo wapi... So if Liverpool wakishinda then Utabiri wako utakuwa sawa ila wakichukia real madrid itakuwa false
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kitanzania hawaeki bei wanapokuwa wanatangaza biashara?

    Wanakuibiaje sasa Upo Mtandaoni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kitanzania hawaeki bei wanapokuwa wanatangaza biashara?

    Sehemu hizi Wanaweka Bei mbn Supermarket Ebay Amazon Kikuu Kupatana Inakuwaje Mtu binafsi unashindwa Kuweka Bei za Bidhaa zako
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wa Kitanzania hawaeki bei wanapokuwa wanatangaza biashara?

    Wafanyabiashara wengi wao hasa wa Kitanzania kwanini inakuwa vigumu sana kuweka bei za bidhaa zenu mnapokuwa mnajinadi na mnanadi bidhaa zenu mitandaoni. Yaani unakuta mtu umekipenda kitu ila inashangaa unawekewa namba za simu kuulizia bei ya hicho kitu hivi kwa hali ya kawaida kwanini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kichuya aweka historia uwanja wa Taifa

    Then what
  10. R

    JamiiForums Tanzania Le mbebeziiiii

    Hahahaha nimemuona Nikamfananisha na Huyu Jamaa
  11. R

    JamiiForums Tanzania AGIZO: Adhabu kali kutolewa kwa madereva wasiosimama kwenye vivuko vya waenda kwa miguu popote pale nchi nzima

    Hii nishaiona sehemu fulani nchi za wenzetu.. Usiku wa manane jamaa yupo road mwenyewe alipofika kwenye alama akasimamisha gari kwa dakika chache then Akaendelea
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Nimemaliza MB zangu tu ... Hakuna Picha
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo hili linawahusu wanaume please pitia hapa upate elimu

    Nipo kwenye hali hii Ila Kuna Vitu fulani huwa Naonaga kama Makusudi vile... Tunaweza Tukazunguka naye mji mzima Tunatafuta anachokitaka kikikosekana ananinunia mpaka mie
  14. R

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Muda Una Affect Vipi Hela ya Kukopa?.. Wakati inabaki pale pale
Back
Top Bottom