Recent content by RangeRover6

  1. RangeRover6

    New Age: Dini mpya ya ulimwengu

    Tunaamini vipi ulichokiandika wewe.? Nini Tofauti ya wanao sema mambo hayo ni mazuri na wewe unaesema ni mabaya.? Unawezaje kututhibitishia kwamba wewe upo sahihi na ulichokiandika.? Una Evidence yoyote au confessions zozote zilizo wazi toka kwa victims waliofanya mambo hayo na wakapatwa...
  2. RangeRover6

    From the green world to a black world

    Mr lifecoded People won't understand you once you tell them you don't understand the presence of God particularly Africans.. kwa kuwaambia hutambui uwepo wa Mungu umewapeleka mbali sana they won't understand. Kama ujuavyo huwezi mchukua mtoto wa miaka 3 au 4 kisha umpeleke university first year...
  3. RangeRover6

    From the green world to a black world

    Aiseee.. hatari kubwa
  4. RangeRover6

    Dar es Salaam sio mji wa kukimbilia kuishi hata siku moja

    Dar siwezi kuishi mm. Huwa naenda kufanya biashara zangu kisha narudi siku hiyo hiyo mbio mbio.. nakuwa kama nimetoka kwenye shimo la mgodini. Dar ni mji wa kibiashara wala sii pahali salama pa kuishi binadamu tena kwa sasa.. Jiji lenye infrastructure mbovu, HALAFU CHAA AJABU WANAUME WA HUKO...
  5. RangeRover6

    Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    Ukatoliki hamuufamu vizuri. Katoliki ni dhehebu lenye masharti magumu, ikiwemo sheria zake kali dhidi ya watenda dhambi na waovu. Kama huna imani kisawa sawa na kushika sheria za Mungu lazima utaona Katoliki ni kubaya na utaondoka na kusema kuwa ni kubaya. Kwanza ieleweke kuwa sera yao ya...
  6. RangeRover6

    Kwanini Makao Makuu ya Kanisa Katoliki yasihamie JERUSALEM(Israel)?

    Ukatoliki hamuufamu vizuri. Katoliki ni dhehebu lenye masharti magumu, ikiwemo sheria zake kali dhidi ya watenda dhambi na waovu. Kama huna imani kisawa sawa na kushika sheria za Mungu lazima utaona Katoliki ni kubaya na utaondoka na kusema kuwa ni kubaya. Kwanza ieleweke kuwa sera yao ya...
  7. RangeRover6

    Mwanamke anataka auze shamba la kwao aje kujenga kwetu

    Baba nimekuelewa .. Akili za kuambiwa ngoja nichanganye na zangu nipembue kisha nichukue maamuzi sahihi
  8. RangeRover6

    Mwanamke anataka auze shamba la kwao aje kujenga kwetu

    Uhakikia wa kumuowa mimi ninao
  9. RangeRover6

    Mwanamke anataka auze shamba la kwao aje kujenga kwetu

    Nitakapopata fedha za kutosha ..2020 hiv if God wishes
  10. RangeRover6

    Mwanamke anataka auze shamba la kwao aje kujenga kwetu

    Haya jaman, asante kwa ushauri
  11. RangeRover6

    Sanamu la KEMET huko Misri

    Watu weusi mna matatizo sana. wengi hamjielewi nyinyi ni akina nani na mpo hapa Duniani kwasababu zipi na zipi. Hamuelewi uwepo wenu. Ndio maana kila wakati mnakuwa wanyuma nyuma tu kuliko watu wa jamii nyingine isiyo ya weusi.
  12. RangeRover6

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Okay we are here to appreciate
Back
Top Bottom