Recent content by Randy orton

  1. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Huyo mtu atakayekula hii mixer lengo lake ni kuhara.
  2. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Album 20 za bongo fleva toka muziki uanze

    Watu mmeambiwa album za kuimba mmekomaa kutaja album za rap. Ndio nyie mkifeli mnasema mmelogwa
  3. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

    Mwanaume unamind vitu vidogo namna hiyo. Inaonekana umekulia maisha ambayo hujajutana na changamoto za msingi mpaka vitu vidogo vikusumbue
  4. Randy orton

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    There are so many languages but you have decided to speak facts.
  5. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Tuna safari ndefu mno Watanzania, hatujali muda kabisa.

    Sio watanzania. Hata wamarekani weusi sifa yao ni hiyo. Nadhani as a race huwa hatuna haraka na tunawahi kuridhika.
  6. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    1. Nunua mali kama nyumba hapa Tz ukishafika uiuze kwa faida
  7. Randy orton

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Plot twist. Alifanya hivyo kugundua kama wewe ni mdangaji.
  8. Randy orton

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Wahudumu wa kibongo wanakatisha tamaa maana kabla ya tip ashaongeza bei kwenye vinywaji na chakula.
  9. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kuwepo, lakini mpaka sasa hatuna sababu ya kuamini hilo

    Tupe ushahidi ulionao wa kisayansi kuhusu asili /chanzo cha mwanadamu na viumbe vyote pamoja na sayari yetu. Narudia tena, ushahidi wa kisanyansi .
  10. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    Ungeweka aya ili uhalali wa madai yako utambulike. Tofauti na hapo zitaonekana ni story za vijiweni tu.
  11. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Uliposema Moshi hakuna Resources ndio nikagundua kuwa kichwa chako ni Store ya uharisho.
  12. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

    Picha haiongei. Huwezi kusema nimesikia fulani amesema hivi tukikuuliza uthibitishe utuletee picha! Hakuna ulichothibitisha.
  13. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Kwahiyo unamlinganisha Issa na Ibilisi! Unajua Issa anaitwa roho ya Allah au hujui ?
  14. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Hilo ni swali itabidi ulete mada mpya.
Back
Top Bottom