Recent content by ramzoukawa

  1. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Arsenal vs man city,

    hio ni shiriq
  2. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hakumtukana tuu Malinzi, Ameitukana FIFA. Ashikishwe adabu

    binafc naona hapo kosa lake kubwa bw;Manara ktk sheria za Fifa ni kujaribu kuichanganya Siasa na Michezo na ktk Sheria za Fifa hilo ni kosa kisheria pale vile alisema Rais Magufuli aingilie suala hilo.
  3. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuomba kazi kwa Magufuli na kukosa sasa anaomba sukari

    Laana za Wananch pmoja na Kuisaliti Chama ake..Mungu awalaani wote km Mzee huyo tizama is't possible ulikuwa Waziri wa nchi leo uwe ombaomba!!!
  4. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    ..Mr.Bahinda habar yako,ulivo mjibu huyo bwana khs story ya nyoka hujamtendea haki hata kidogo,always jifunze kupokea unachokipenda na kile usichokipenda kwn daima utajijengea busara na skills kila uchao.
  5. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ikizidi inakuwa Uoga. Na uoga ni sumu katika maisha ya binadamu yeyote

    hilo nenoo Werrason..cos'America always hupgania kwa washirika wake So dogo alishasema anaMakombora yakupiga pale Washngton So hapo vita hakuna nakwa ile taarifa yaMjapan kusema still Deplomacy/vikwazo vipo vingi ina Maana watamuwekea vikwazo tu wala sio kupgana na Korea Kaskazin.
  6. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Marekani lazima akae, vita hakuna tena

    ..[emoji2] [emoji3] ni Kweli Akaja,hapo nnachokiona Mmarekani ametegwa anything atakachofanya ajue Mrusi yuko against why..asijiulize yakule Syria hafi leo kashindwa mumtoa Assad
  7. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Marekani lazima akae, vita hakuna tena

    haswa
  8. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Kulevya: Kundi la Weusi wamemuimba nani?

    Huo wimbo wa Blackz Unahusu mApenz tu..czani kuna la ziada
  9. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania The truth about Nape Nnauye ( Ukweli kuhusu Nape Nape Nnauye)

    Safi kwa ufafanuzi wako
  10. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    Ndio raha za Muungano wa Tanganyika naZenji.. sasa Dr. anachukia nini ikiwa Ccm ni mbele kwa mbele
  11. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    @Ramzou Arusha ndo'kika ukilinganisha hata condition huwezi pata kokote ktk miji yote tz.
  12. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Kobil Rally 5/3/2017

    Good napena sana hio...
  13. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Man United

    Do We got the wining within '45 last half on this game?
  14. ramzoukawa

    JamiiForums Tanzania Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

    Faiza foxy
  15. ramzoukawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar es Salaam vs Nairobi Drone view

    Sasa leo wenZetu wako na plane ya trein ya umeme bongo Je??? flyover zimewashnda,mnabakia kuleta kwa serikali yetu.
Back
Top Bottom