Recent content by ramso mgumu

  1. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Simba yetu

    Ndiye nini
  2. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Simba yetu

    Ahmedi ally nakukubali sana ila kipindi hiki tunaumia sana mechi ijayo tujitahidi zaidi ya kujitahidi kwakweli #wenyenchi #simba #nguvumoja
  3. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Kiongozi WA dini nae anaitajika atoe fungu la kumi?
  4. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Halo ndiye kosa wanalo fanya viongozi wetu WA dini
  5. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Sema hilo jina lako ndugu dah[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Jibu ujuavyo ili tupate elimu ata kidogo
  7. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Nimekuelewa ila sasa pesa zetu Huwa ni zamafungu mafungu hapo sasa ndiye mtihani
  8. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Kuna Manabii wa uongo, je Manabii wa kweli ni wepi?

    Manabii waliopo sasa wote ni wauongo kwahiyo usidanganyike. Na manabii WA ukweli wapo kwenye vitabu vya dini mbili hizo ukristo na uislamu na wote washatangulia Kwa mungu na MUNGU aleti tena nabii mpya. Waliopo sasa ni viongi WA dini tu. Naimani umenielewa
  9. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Fungu la kumi

    Naomba kujua hii fungu la kumi Yani nalipataje fungu la kumi?
  10. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Likizo kazini

    Naomba kujua au ufafanuzi WA likizo kazini Muajiliwa unatakiwa utendewe Nini na muajili wako ukiwa likizo? Na kama unauza likizo unatakiwa utendewe Nini na muajili wako? Naombeni kujua hapo
  11. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania 20 kwa 20 kiwanja naweza kujenga nyumba vyumba vitatu,sebule kubwa ,toilet?

    naomba unisaidie ramani mkuu namba +255655359902 nisaidie
  12. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Alhamdu lillah MMungu mkubwa sana
  13. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Kwa ' Uhuni ' huu tuliofanyiwa Watanzania na Taifa Stars yetu huko nchini Burundi, Jumapili ya tarehe 8 nasi tuna haki ya Kulipiza Kisasi

    Ndiye mana sisi tunagaragazwa kila siku kwenye mchezo wa soka. Timu pizan Ikija hapa wanapata rahaaaaaaaa mpaka basi na kutufunga watufunga. Sisi tukienda kwao chamoto tunakiona. Sasa huu ni ujinga wa kupitiliza Tena wanarithi mpaka watoto wetu.
  14. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Taifa stars

    Hongera sana timu yetu ya taifa kwa kupata sare ya magoli. Kwa mkapa tunaitaji ushindi au Bila bila Mungu ibaliki Tanzania Mungu ibaliki Taifa stars
  15. ramso mgumu

    JamiiForums Tanzania Wanigeria wawapa saa 24 waafrika Kusini wawe wameondoka nchini mwao

    Mungu tunusuru na matatizo ya kiduniya
Back
Top Bottom