Likizo kazini

Likizo kazini

ramso mgumu

Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
37
Reaction score
27
Naomba kujua au ufafanuzi WA likizo kazini
Muajiliwa unatakiwa utendewe Nini na muajili wako ukiwa likizo?
Na kama unauza likizo unatakiwa utendewe Nini na muajili wako?
Naombeni kujua hapo
 
Back
Top Bottom