Recent content by RAMSO HOLELA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Google adsense na propeller ads kipi bora?

    App gan hiyo kaka ili na sisi tukaijue
  2. R

    JamiiForums Tanzania Google adsense na propeller ads kipi bora?

    Hata na sie tupate ujuzi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Google adsense na propeller ads kipi bora?

    App gani hiyo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanaojua second round post za TCU zitatoka lini?

    dah mana mda unazidi kwenda na huu ni mwez wa 10
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni mteule yupi wa Kikwete aliekuvutia katika utendaji wake wa kazi?

    mi naona waliojaribu kidogo yupo magufuli,lowasa na mwakyembe..wengne wakatumie mabak ya escrow
  6. R

    JamiiForums Tanzania Form six 2015 kufanya mtiani wa taifa mwezi wa pili

    hizo porojo tu .hao co necta
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni upi utakuwa msimamo bora wa elimu yetu iliyopo mpaka sasa

    kwa hapa nchini kwetu bado elimu yetu haijajenga msimamo wake maana kila mda huwa pana tokea mambo mapya .kutokana na mabadiliko hayo yameweza kuonyesha msimamo wa elimu kuwa ndani nchin haupo. hebu tuitazame elimu kwanza kwa jicho pevu ambayo itasaidia juondoa ujinga na imani potofu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, ufaulu wa mwaka jana na mwaka huu umeweza kukuza kiwango cha elimu hapa tanzania

    Katika mtihani wa mwaka 2o13 kiwango cha ufaulu kimekuwa tofauti ,ambapo ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana mno
Back
Top Bottom