Huyu jamaa ni hatari. hakumaliza hata elimu ya Sekondari, akaamu kuwa kondakta ya gari then biashara kubwa kubwa. Kwa kweli kama una mpango wa kujiajiri elimu ya kujua kusoma na kuandika inatosha
Katiba hii hii ambayo hadi wazanzibar wanapewa nafasi za uongozi katika Wizara zisozo za Muungano? Katiba hii ambayo Chama kimoja kinaweza kujitangazia ushindi wa hadi asilimia 98? Katiba hii hii ambayo Mama yetu anaita Kijitabu tu???
Kwa ufupi Katiba kwa nchi zilizostaarabika tu. Kwa nchi zetu...
hayupo sahihi. Angemuachia tu nyumba yake na watoto wake yeye akaanza kutafuta maisha yake binafsi. Hichi alichofanya kina hasara kubwa kwa watoto na kwake binafsi. Anaweza kuhukumiwa kunyongwa na kifungo cha Maisha jela wakati huku nje watoto hawana mama wala baba na bado ni wadogo.
Hayo hapo kwenye bolt ni nadharia kama ya uwepo wa moto wa milele lakini kwenye utekelezaji mambo hayapo hivo. Kila unapoona neno Jamhuri ya Muungano anayesemwa hapo ni Tanganyika. Bunge la Muungano mamlaka yake kwenye utendaji haalisi yaanaishia pale Mogogoni nyuma ya Ikulu ya Tanganyika pale...
Waziri Mkuu ni Mkuu wa Tanganyika, hivyo kamwe hawezi kutokea Zanzibar. Kila unapoona neno Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniapigia mstari kwamba hiyo ni Tanganyika katika jiba la ubatizo.
Wamama wa Kichaga hii laana ya umiliki wa mali na tamaa ya mali sijui watatakasa lini. Kulikuwa na ulzima gani wa kutaka hati iwe kwa jina lake tu wakati wao ni wanandoa.
Siyo kweli. Fujo za Afrika ni matokeo ya Ukoloni walioweka mipaka bila kuwashirikisha wenye nchi zao. Hata Ulaya kuna Ukabila. Karibu nchi zote unazoziona Ulaya hasa Ulaya Mashariki ni nchi za Makabila. Ukabila ni jambo la asili, waalioungana kwa hiari yao huwa hawasumbui. Uliowalazimisha lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.