To see the unseen! Itakuwa kabla au baada ya Final SUBMISSION?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,393
Reaction score
51,350
Ninaamini humu ndani wapo wanao ona yasiyo onekana na wanajua HUKUMU itakuwaje.

Binafsi naona kama kesi hii haita malizwa kabla ya neno la mwisho la jaji kwenye hukumu, basi haya yanaweza kujiri.

1. Atakutwa na hatia na Atahukumiwa. ☹️✍️Kwa malengo baadae Nyota inayo ng'aa(kwa mujibu wa walio mpa uchifu) afanye kupitisha msamaha uchwara ili kujisafisha kimataifa na kuepuka MBINYO kimataifa.

Kama kesi itamalizwa kabla ya final submission basi litakuwa jambo jema. Ila je watataka MWAMBA adai fidia?( I highly doubt)

Wazee wa ZA ndaaani leteni mliyo nayo juu ya kitakacho jiri siku chache mapema wiki ijayo.
 
Mimi nimeota ndoto Lissu ametoka na ana watu wengi wamemsindikiza mpaka nyumbani kwake. Na Mimi nikafika mpaka kwake nikakuta watu wengi nje ya nyumba . Nikajumuika na watu hao na baadae Lissu akatoka nje kuja kutusalimia wote , tukapanga mstari kumsalimia.
 
Ndoto njema. Ila final submission pande zote wakimaliza... Naona kama hukumu inaweza kuwa chungu upande wa mshitakiwa.

HATA HIVYO KWA KUZINGATIA KIBANO NA MBINYO KIMATAIFA MWAMBA ANAWEZA KUACHIWA HURU.
 
Mimi nimeota ndoto Lissu ametoka na ana watu wengi wamemsindikiza mpaka nyumbani kwake. Na Mimi nikafika mpaka kwake nikakuta watu wengi nje ya nyumba . Nikajumuika na watu hao na baadae Lissu akatoka nje kuja kutusalimia wote , tukapanga mstari kumsalimia.
Ndoto njema. Ila final submission pande zote wakimaliza... Naona kama hukumu inaweza kuwaa chungu upande wa mshitakiwa.

HATA HIVYO KWA KUZINGATIA KIBANO NA MBINYO KIMATAIFA MWAMBA ANAWEZA KUACHIWA HURU.
 
Naandika nafuta, nahisi yajayo yanasikitisha, hawana aibu,
Mbinyo kimataifa ni mkali. Hata wakipitisha hukumu chungu baadae watamuachia tu. Wanacho weza kukwepa ni swala la yeye kudai fidia so wanapiga rungu ili aonekane ameeahi kuwa na hatia ya kosa kubwa. (KUHARIBIANA KISIASA)

YOTE NA YOTE TUSUBIRI HUKUMU KWA SASA TUNATOA MAONI TU
 
kati ya watu walijiharibia kwa kurupuka na kuharibia ndoto za wenzake ni TAL wangeendelea kibabe na uchaguzi kungekuwa na serikali ya mpito sasa angalau
 
Ninaamini humu ndani wapo wanao ona yasiyo onekana na wanajua HUKUMU itakuwaje.

Binafsi naona kama kesi hii haita malizwa kabla ya neno la mwisho la jaji kwenye hukumu, basi haya yanaweza kujiri.

1. Atakutwa na hatia na Atahukumiwa. ☹️✍️Kwa malengo baadae Nyota inayo ng'aa(kwa mujibu wa walio mpa uchifu) afanye kupitisha msamaha uchwara ili kujisafisha kimataifa na kuepuka MBINYO kimataifa.

Kama kesi itamalizwa kabla ya final submission basi litakuwa jambo jema. Ila je watataka MWAMBA adai fidia?( I highly doubt)

Wazee wa ZA ndaaani leteni mliyo nayo juu ya kitakacho jiri siku chache mapema wiki ijayo.
Atahukumiwa kufungwa Maisha jela.
 
Kama ameshindwa kujiheshimu basi afundishwe na ulimwengu
 
Back
Top Bottom