Recent content by ramsden s. chand

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pikipiki wilaya ya Bagamoyo

    Naona hata waweka gps wenyewe hawapo sharp kwa sababu wezi huwa wanaangalia sehemu ambazo watu hawafungi gps ko hapa ilitakiwa wanaohusika na gps waende wenywe maeneo hayo kutoa elimu kuhusu hizo gps maana wengine hata hawajui kama zinatumikaje
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pikipiki wilaya ya Bagamoyo

    Polisi Bagamoyo tusaidieni jamani pikipiki zinaibiwa kila siku, madereva wanaumizwa tunawaomba mchukue hatua stahiki kwa wahusika uhalifu unazidi siku hadi siku siku.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    duh iedit hiyo mshkaj angu......
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marian university out

    ingia kweny web yao tayakuta.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Marian university out

    kwa walioomba na kupata first selection marian university ingia kwenye website yao utakuta majina.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu heslb, mikopo kwa wanafunzi.

    mikopo bado ..... ukienda chuo kaz ako ni kusain tu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Utani mwingine bwana ni majanga

    hiihihihi!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Form six 2015 kufanya mtiani wa taifa mwezi wa pili

    walete tu hata mwezi wa 7 mwaka hu*
  9. R

    JamiiForums Tanzania Zipi sifa za watakaochaguliwa Form V kwa matokeo ya 2013?

    mwnang ucjal advanc utakuja niulizie me kw jina ili unfaham kabla hujaja!
Back
Top Bottom