Salaam
Naomba kuuliza hivi mtumishi wa umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Kama ndiyo naomba msingi wake kwa kuzingatia sheria za utumishi wa umma.
Naomba kuwasilisha kwa wajuzi wanisaidie
Hii ni kwa sababu ya tofauti kubwa ya mishahara iliyopo kati ya halmashauri, wakala, mashirika ya umma, taasisi n.k ndiyo maana kila mtu anataka kupata kazi sehemu kama hizo ambapo mushahara na malupulupu viko juu. Ushauri wangu serikali iangalie upya tofauti kubwa ya mishahara serikalini...
Hapa kwa mtazamo wangu wengine tayari wana kazi mahali ila kwa kuwa TRA kuna mushahara mnono na malupulupu mazuri ndiyo maana kila mtu anajaribu bahati ya kwenda huko. Nashauri serikali iweke mishahara yenye uwiano sawa kuanzia halmashauri, wakala,mashirika na taasisi mbalimbali. Watu...
Kweli bwana kuhama ni haki ya mtu. Jamani mimi natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi kada ya Afisa maendeleo ya jamii aje kanda ya kaskazini mimi niende kanda ya ziwa.
Kwa takribani mwaka mzima uhamisho kwa watumishi wa umma umezuiliwa. Kwa kuwa haijulikani ni lini utaruhusiwa, mimi nashauri ni bora kwa wale walioomba kuhama kwa sababu za kiafya wakahamishwa tu ili kuongeza tija kazini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.