Recent content by RAMAJ

  1. RAMAJ

    Lile ni goal au siyo goal?

    Ni kama kasumba ya mipira inayoelekea golini kugonga kwenye mstari wa goal inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa timu ya Yanga. Tena katika mechi muhimu ambazo wanahitaji matokeo ya ushindi. Ukianza na mechi baina ya Mamelod na Yanga, mpira uliyopigwa na Aziz Ki na kugusa mstari wa goal ulizua...
  2. RAMAJ

    Tegemeeni taarifa ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kufungiwa kuanzia kesho

    Uwanja kama majaruba ya mpunga.. Ukifungiwa wanalalamika
  3. RAMAJ

    Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Nasibu anajituma sana, anafanya kazi kubwa sana sana kwenye mziki wake... Anastahili hizi tuzo, na wala siyo upendeleo kama baadhi wanavyosema
  4. RAMAJ

    Mvua Dar; Jangwani panapitika leo?

    Karibu panafungwa, maana maji yashaanza kujikusanya.
  5. RAMAJ

    GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Hili halina upande mzee. Na mimi wala sijaleta nikasema nimesimama katika upande. Kazi yangu ni kukupa taarifa na kuzichakata kwa pamoja. Tusifanye vitu kwa ushabiki.
  6. RAMAJ

    GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Chama cha mapinduzi kupitia katibu wake wa uenezi, Ndugu H. Pole pole wameandaa tukio lililowakutanisha wadau mbalimbali wa burudani wakiwemo wasanii wa maigizo, muziki n.k. Waliloliita #UhuruKunaJambo linalofanyika katika uwanja wa uhuru. Katika tukio hilo kuna tukio lingine limetokea, ambapo...
  7. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Very good point. Swala la kufanya kazi bila weledi litatafuna vyombo vya habari vingi ikiwa Mamlaka zinazosimamia vyombo hivi vitasimamia sheria na kanuni kama inavyopaswa. Taarifa siku hizi hazichakatwi, hazihaririwi. Uropokaji ndiyo umekuwa msingi wa utangazaji. Kuna upande tasnia imepwaya...
  8. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Mbinu zake kivipi?? Ana mamlaka gani kwa sasa??
  9. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Kwahiyo wanatumia mtazamo upi kusemea madhara ya punyeto??
  10. RAMAJ

    Upi mtazamo wako juu ya kipindi maarufu cha Jahazi kufungiwa?

    Kimaadili, si sahihi. Na kiafya pia si sahihi. Nafikiri wengi tunaelewa madhara ya kujichua. Hatuwezi kupigia debe kitu ambacho tunajua kina madhara na kinakiuka maadili. Swala la condom ni kinga dhidi ya magonjwa. Hivyo inachukuliwa kama tahadhari.
Back
Top Bottom