Recent content by Ramadhani K

  1. R

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri: RC Makonda afutiwa Ulinzi

    Kiranga knows a lot on thermodynamics
  2. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mapacha walioungana Maria na Consolata wafariki dunia. Rais Magufuli awalilia...

    Kumezuka mjadala tusaidieni. Je walikuwa na moyo mmoja au mioyo miwili?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania si serikali ya kwanza kushitakiwa na kudaiwa

    Yaelekea wewe umezoea kutoa matusi badala ya kujadili. Mwenzio huyo kila anapokwenda anaacha hasara. Fikra ni madeni kiasi gani atawaachia wavuja jasho halimithiliki! Masikini Mramba na Yona walionewa sasa ndio tunaingia mchezoni! Hadi 2020 kinga zitakuwa zimeondolewa na hapo wewe wa kudadavua...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania si serikali ya kwanza kushitakiwa na kudaiwa

    naomba nisaidiwe!!! Nimekuwa nikichangia mawazo katika mijadala lakini baada ya kutuma siwezi kuisoma tena thread yangu! Kinachoonekana ni jina langu tu na (#5). Natafuta wee hadi mbs zinakatika bila kujisoma na kuwasoma wenzangu. Wakati mwingine linaletwa giza tu!
  5. R

    JamiiForums Tanzania A serious Complain Kwa Vodacom-Mpesa

  6. R

    JamiiForums Tanzania WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

    eiyer habari hii inatisha! Je kila aingiaye kwenye utawala katika Marekani, Urusi, China na sasa Korea Kaskazini wanazifahamu hizi habari?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mshahara unaweza kuongezwa na uhakiki kusimama ghafla ili serikali ijisafishe.

    ushamba tu. Na kweli jogoo la shamba limeingia mjini-kati
  8. R

    JamiiForums Tanzania TAMKO: CUF wamjibu Spika wa Bunge, baada ya kusema hamtambui Maalim Seif

    Vietnam hawakuanza vita kwa bunduki bali maneno! Kuna watu wameichoka hali iliyopo! Hakika Watanzania wanaelewa nini kinatokea kwa CUF. Nani wana mikono mirefu ndani ya kadhia hii. Si wapumbavu kama ilivyowahi kutamkwa. Vitu hivi vidogo vidogo vinajenga chuki ndani ya jamii! Watanzania wanaelewa...
Back
Top Bottom