Recent content by ramadhan Mwesongo

  1. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Wadau hii ishu ya pic kushinwa kufunguka kwa jamii forum tu ni kwangu tu au, please msaada tafadhani anayeweza kunisaidia
  2. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania 2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

    Ujumbe mzuri nmeuelewa. Asa nyama inahusu nn hapo
  3. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nakukubali AFISA, usijari matusi ya mawakala wa makampuni ya betting. Binafsi napenda ziwekwe timu na ubashiri wako ila usiweke jina la kampuni ya kubetia
  4. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye magari huwa wanafaidi sana mahaba kutoka kwa wanawake zao

    Ushawai kuombwa lift ya kulala kwenye nyumba. Gari heshima haijarishi ya aina gan
  5. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Sitosahau Polisi kituo cha Minziro, Misenyi kwa uonevu mnaofanya kwa Raia wasio na haki

    Banafsi polisi wa aina hiyo siwapendi. Hivi kuna raia asiyekuwa na haki au wewe ndo hauna haki, kama kichwa cha uzi wako kinavyojieleza
  6. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Happy BirthDay House Girl

    Mimi nina degree ya uhouseboy na uzoefu wa miaka mingi pia mshahara wa housegirl ntatoa mm
  7. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa dar

    Msipaniki watu wa dar. Mtoa mada kuna kitu kakiona muulizeni vizuri.
  8. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

    Mvumilie huenda akawa anateseka kutafuta namna ya kukulipa deni kuliki wewe unavyoteseka kumdai. Kama mnaeshimiana atakulipa tu
  9. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Demu wa fesibook

    Noma kweli
  10. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya maeneo yenye uhaba wa maji na ukame nchi Tanzania

    Ugonjwa huo wanaugua wengi wa kusoma jumbe kabla hajamaliza wanatoa majibu. Ipo waz na inajieleza vizuri
  11. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Mnisamehe...

    Naomba mishahara ipunguzwe 50%. Mnisamehe
  12. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Serikali inafanya kosa kubwa kutoboresha maslahi ya wafanyakazi.

    Hasa watendaji wa serkali za mtaa-vijiji
  13. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya jinsia itolewe Mtwara, wanawake ni warahisi sana

    Tusiwalaumu hao wake, inawezekana wanaume wa mtwara wavivu kuhudumia ndoa zao, wapo busy wanafuatilia gas yao
  14. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Nimeingia sero nikakuta Polisi 8 na sare zao nao wako rumande

    Utashangaa nn kumkuta shetani jahanam
  15. ramadhan Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

    Nampeda rais wangu jpm
Back
Top Bottom