Orodha ya maeneo yenye uhaba wa maji na ukame nchi Tanzania

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
habara wana bodi, naomba kupata orodha ya maeneo yenye uhaba wa maji nchini Tanzania kuanzia Dar es salaam hadi mikoa mingine iliyopo Tanzania.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Nafanya kazi katika taasisi moja inahitaji kutoa misaada ya uchimbaji wa visima nchini Tanzania
 
Nenda MEATU, Simanjiro, Kishapu, Kwimba, Iramba, Longido, n.k.
 
Mwanga + Same Kilimanjaro.
Hizo wilaya ni nusu jangwa.
Nipo same. Maeneo ya Same,Mwanga,Korogwe (baadhi ya vijiji) Kuna mradi mkubwa wa kitaifa Kwa ufadhili wa BADEA. Same tu inatarajiwa kupata Lita milioni 103 na point per day .Wakati mahitaji ya Same NI Lita milioni 78 Kwa siku.SAME YA KIJANI INAKUJA.
 
Nyumba ya Mungu si patakauka aisee?

Nimeona wameshachimba mtaro mpaka kavambughu, visima vinaendelea kujengwa ila hofu yangu ni kama maji hayo yatadumu kutokana na vyanzo vyake.
 
Baadhi ya jamaa wa huo mradi nioongea nao wanadai Yale Maji ya nyumba ya mungu NI mengi na yanakidhi mahitaji. SIO rahisi bwawa likauke maana Yatasukumwa Kwa machine ya umeme hadi tank linalojengwa KIVERENGE (LEMBENI) Then yatatawanywa Kwa gravity kuelelea Mwanga, Same na vijiji 15 vya Wilaya ya Korogwe.So shaka ondoa ! Wataalam walifanya tafiti.
 
Maji yatakayotoka ni mengi kuliko yanayoingia na huo ndio ukweli, kuna siku utakumbuka hii kauli ukisikia mradi umekufa kwa upungufu wa maji.

Ni mito mingapi ya uhakika inayotiririsha maji January mpaka December?
 
habara wana bodi, naomba kupata orodha ya maeneo yenye uhaba wa maji nchini Tanzania kuanzia Dar es salaam hadi mikoa mingine iliyopo Tanzania.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Nafanya kazi katika taasisi moja inahitaji kutoa misaada ya uchimbaji wa visima nchini Tanzania

Kisarawe mkoa wa Pwani
 
Back
Top Bottom