Ukisikia UNAFIKI ndio kama huu sasa. Nauli hizi hazikuja tu kwa ghafla. Wasafirishaji waliomba kupandisha nauli, ombi lao likatangazwa kwenye magazeti, serikali kupitia LATRA, wakatangaza mkutano wa wadau kupokea maoni kuhusu maombi hayo. Watu hawakujitokeza wakati huo kuzipinga au hata kuandika...
Kabla ya kukosoa au kusupport kinachoendelea Mtwara, vyema tukapitia muswada wa sera ya gesi nchini na kuchambua mapungufu yake. Soma muswada huo kupitia kiungo hiki.
Muswada wa Sera ya Gesi nchini
Au upo uwezekano kuwa alijua kuwa asingeweza kutekeleza mikakati yake katika zama za JK, so akaona bora akae pembeni, na kwakuwa sasa anaelekea kumaliza muda wake anaona ni muafaka kwake yeye (Mangula), kurejea kwasababu atakuwa huru kufanya mabadiliko yake?
Nilikuwa Dodoma mwaka 2005, wakati wa mchakato uliomalizikia kwa JK kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kupitia CCM mwaka huo. Ninakumbuka sana kuwa, ni katika wakati ule ambapo CCM waliamua kuhalalisha rushwa kwa kuiita takrima, na nakumbuka kwa uzuri sana kuwa, ni katika wakati ule ambapo tulianza...
Ikiwa anaachishwa kazi, haitakuwa kwasababu ana kosa, bali ni kwasababu utamaduni wetu huwa ni wa kuchukua hatua kwa kuangalia matokeo na sio chanzo kilichopelekea matukio hayo
Ndoto za Manchester United za kutwaa makombe matatu msimu huu zimeanza kuyeyuka taratibu baada ya leo hii kuondoshwa rasmi kwenye michuano ya kombe la chama cha soka nchini Uingereza (FA Cup) na mahasimu wao wakuu Manchester City katika mechi ya nusu fainali...............
Manchester City 1-0...
Ni rahisi kwa CCM kuvunja kila kitu, lakini je, ni rahisi kwao na hususan kwa mwenyekiti wao kusikiliza kile Watanzania wanataka na kutenda katika hicho badala ya kutenda katika matakwa ya marafiki? Maana twaweza furahia kuvunjwa kwa kila kitu, lakini wanapokuwa nje ya mfumo wa utawala wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.