Mkuu katika maelezo yangu mwanzo hvyo vitu tunavyodeal navyo ndo vilikua vya kwanza kuorodehesha but hzo cereal ilikua kama addition unaweza isoma kama unavyojua pale kuna elective na core. Annual crop ni choice yako usome au uache. Hvyo tu.
Yah.. horticulture nilishakwambia inavyohusika, agronomy inahusika na udongo tu. Sayansi ya udongo ila na baadhi ya mazao kama hayo annual crop wanasoma sana sana maize.
Wengi hua hawaijui inahusika na nini na baadhi yao hukatishwa tamaa. Ni degree program nzuri sana. Ni ya kilimo inahusika na kilimo cha matunda, spice, mboga, flower na hata annual crop like maize. Mtaenjoy saana. Karibun horticulture unit mnenepe kwa kula matunda ya kutosha.
karibuni sua bata mnaziacha getini pale pa kuingilia, mkishaingia ndani jiandaeni na assignment na quiz za kutosha. ukweli umpe umpendaye si kwamba nawatisha:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Sasa unataka wenzako wasipate? Kwa nia njema inabidi warekebishe ili washugulikiwe,
kukosea kawaida sana. Na huu utaratibu upo tangu mwanzo.
Punguza harak mda wa kutoka matokeo utafika najua unashahuku kubwa ya kuona kama utapata mkopo ila kua mvumilivu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.