Fuatilia vuguvugu la Madagasca Kenya na Nchi zilizo fanikiwa katika Maandano yao utagundua kitu.
1. Mipango
2. Lengo
Kenya walikua wanapanga ni mahali gani tutakutania kisha wanafuata lengo lao kwa siku hiyo Maandamano yanaelekea wapii hii inasaidia kujua tathimini ya watakao Umia na hata Kufa...
Wakuu wa Jf nawasalimu na poleni kwa Majukumu ya kila siku.
Kwanza kabisa moyo wangu uko na upweke kwa mambo yanayoendelea Nchini kipindi hiki cha uchaguzi binafsi sipendezwi na kwa kiasi mpka nakufuru Mungu kwamba hayupo na kama angekuwepo basi angeweza zuia haya yanayoendelea Nchini kwetu...
Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo.
Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila kukicha huku Dunia ikikaa kimya pasi zuio au katazo lolote dhidi ya dhulma hii ya wana Gaza. Je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.