Hili suala la mimba za utotoni limekua miaka na miaka , na hatufanikiwi kwa asilimia kubwa katika jitihada zetu kwasababu hatuangalii sababu kuu. Mabadiliko ya biologia ya mwili ndio huchangia kuleta uhitaji wa kufanya ngono, mwili huwa na mahitaji ya kiasili kila hatua ya ukuaji , ingekua sio...
Je, haya mashirika yanayopambana kutokomeza ukatili wa kijinsia yanamsaidia binti aliyepata mimba katika kutimiza ndoto zake ?, au wao huishia kupambania aliyempa mimba afungwe.
Push up nzuri unatakiwa upige deep na taratibu , unashuka chini unatulia halafu unapanda unatulia , ukipiga push up namna hii kwa set utaona matokeo mazuri Sana.
Pole kwa yalokukuta huwa haya mambo hutokea hasa watoto wakiwa na mazoea ya uzungu na pia mzazi akiwa bize hawaangalii kwa ukaribu watoto, huyo kijana hiko ndo kipindi anakuwa na ashki ya hali ya juu kwahiyo wanavyobaki wenyewe huwa hao dada zake hujiachia yani huvaa nguo za kutamanisha hasa...
Inbreeding inaongeza chance ya kupata magonjwa hasa ya kurithi Ila hamna guarantee kuwa offsprings watakufa, na kuhusu kumfunga mwanae haitasaidia chochote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Female body produces three hormones as far as reproduction is concerned namely estrogen, progesterone and testosterone. Estrogen is produced by ovaries, adrenal glands and fat cells so if your fat it could lead to overproduction of estrogen and this hormone among the effects it produces it...
Wazee wa roho mbaya mademu wanawakubali kimoma baada ya tukio, wazee wa operation , daktari mpasuaji hatakiwi kuwa mwenye huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea vyema Sana, roma aliimba akimwambia mwanae wa kiume akikua ataona , baba huwambia mwanae wa kuime uhalisia na ukweli vivo hivyo mama kwa mtoto wa kike.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.