Recent content by RAJBIYZO

  1. RAJBIYZO

    Rajbeyzzle_forsheyzzle_ft_Dama s_planet_Hard_life. official video

    Not everyone who laughed not think they love it. Some laugh at how you are.
  2. RAJBIYZO

    Michano, Punch lines special thread

    Rajbeyzzle Forsheyzzle Literary-son >>>>> Dr3™93™93™93™93™9ah!!Wanao fikiria kuwa na me. Na me nafkiria kuwa nao6¾4 Japo masnitch nao. Wanafkir ya kwao6¾4 Tafuta changamoto. kisha jipe imani. Ukihis yamoto6¾4 kajitose baharin6¾4 Walikamata first nika rest wakapotea6¾4 Nipo wa first...
  3. RAJBIYZO

    Huongo sio mzuri. Muone huyo jamaa alivyo umbuka..

    Mr nawe unapenda kuongopa nin?
  4. RAJBIYZO

    Huongo sio mzuri. Muone huyo jamaa alivyo umbuka..

    Jamaa joseph akaona hapa nikimuonea huruma tu. Imekula kwangu
  5. RAJBIYZO

    For sale nokia 2330.

    kwa kuku wa nyama inatosha ivi unaonaje ukienda kununua iyo than mukaenda kupata home.
  6. RAJBIYZO

    For sale nokia 2330.

    Ni mpya original. Nokia 2330-2 v 09.85 11-03-10 rm-512 (c) Nokia variant: 00.00 virtual variant: no virtual variant Language v 09.85 11-03-10 rm 512 (c) Nokia ssa. jipatie kwa punguzo kubwa la bie.
  7. RAJBIYZO

    Huongo sio mzuri. Muone huyo jamaa alivyo umbuka..

    Siku 1 Jony & joseph. Walenda safar ndefu sana. Wakafika sehem akuna nyumba hata 1. Ni sehem iliyo fanana kabisa na jangwa. Walienda kwa mbele kidogo wakaona msikiti ikawa hivi.. JONY:+ Dah! Njaa inaniuma kweri twende hapo msikitin tukapate japo maji. JOSPH:+ Poa twende maana naona hadi mimi koo...
  8. RAJBIYZO

    Jamaa nouma duh!!

    Siunajuwa tena mwana anaogopa.
  9. RAJBIYZO

    Jamaa nouma duh!!

    Kuna jamaa alipigiwa sim na mpenzi wake ikawa hivi.. Mpz:+ hellow baby nime kumiss. Jamaa:+ hata mimi baby. Mpz:+ unajuwa nini mpenzi? Jamaa:+ nini mpenzi. Mpz:+ kuna kitu nataka nikuambie. Jamaa:+ niambie tu mpenzi don't worry. Mpz:+ mh! Nina mimba yako. Jamaa:+ ahaa! Kumbe usjari baby nitumie...
  10. RAJBIYZO

    jang'ombe zanzibar: nyumba yazama yote ardhini na kila kilichokuwa ndani yake.

    Hata kama zilipendwa lakini imetokea ina haki ya kuikumbuka kama tunavyo yakumbuka mengine.
  11. RAJBIYZO

    Nimeamua kuhama nyumba maneno maneno ya mama mwenye nyumba

    Huyo mama mwenye nyumba hana matatizo tu huyo.
Back
Top Bottom