wakali wa hip hop Tanzania one the incredible wamejitoa M LAB ambapo ndo studio walio kuwa wanarecord ngoma zao kali. wakali hao wa hip 2 hip hop wamethibitisha hili baaada 2 ya mkataba wao wao kuisha na bila ku sign makataba mwingine mpyaa, kwa sasa hatujaweza kupata jibu kamili kama wakali...
na kwali hiii wataaaribu biashara inaonekana huyo meneja na kamati yake wanatamaa sana ya pesa na ukitaka kuwa mfanya biashara mzuri usiwe na tamaa na sababu hiyo wa2 weng hupoteza mipango
daaaa sasa hajira hamna jamani maisha kila cku iendayo kwa mungu yanazidi kupanda bei unadhani vijana watajikomboa vp kwenye swala hili zito la umaskini mimi nadhani tungekaaa chini kulifilia swala hili kwa undani zaidi ili kujua jinsi ya kusaidia vijana hawa
nadhani hiii inatokana na uhuru ambao umepiitiliza walio pewa wandishi wa habari sasa imefika wakati wamejisahau na kuanza kuongeza habari ambazo hawana uwakika na pengine hazipo kabisa sasa me nadhani suluhisho ni kuwa na mipaka kwa kila sehemu husika nadhani itasaidia kwa kila upande
nahisi kutokana na mipangilio mibovu na upungufu wa mawazo wa wa2 husika maana kwa kutazama kwa haraka ni kitu muhimu saana na wenda kingeapunguzia mkusanyiko wa kuwa na wanafunzi wengi na pia hata kuwapa mazingira mepesi maprofesa husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.