Lipi kati ya haya bado unafanya?

Lipi kati ya haya bado unafanya?

kugombanisha jogoo wenu na yule wa jirani ili wapigane
 
sijui kama siku hizi ipo hii!
1. Kupakwa gv kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa
'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe
kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au
pindo la kanga
9. Kwenda kuangalia sinema za
ukimwi na lishe sokoni
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Ndala kuchemshwa ili
zisiishe
12.kucheza umeshikilia kaptula
sababu mpira umekatika
13.kuchonga penseli na meno
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni
kisa nywele ndefu
16. Wewe unakumbuka nini...?

kwenda kuogelea mtoni (dindini)
kwenda shule na kopo lamaji na fagio
kwa wale wa vijijini kwenda kuwinda kware
kumwandikia demu wako barua kwenye zile karatasi za marashi zenye maua maua
kujifanya unaumwa ili usiendeshule...alafu ukipelekwa kituo cha afya dr haoni kitu..mtiti wake sasa..usiombee.
Kudindisha kola ya shati ili uonekane msela.
Kunyoa panki
mimi nilikua kama kuna ugeni home nafungiwa au dada anaambiwa aende na mimi kufua mtoni..maana hiyo soda mgeni hatainywa kwa amani jinsi nitakavyo mwangalia..
Nakumbuka mara ya kwanza nilimtembelea dada mjini akanipeleka disco la mchana...ilibidi anirudishe kabla hata ya mda maana ndani ya saa moja nilishakunywa soda nane...na pesa yake ikawa imeisha..mpaka leo tukikumbuka tunacheka sana...
Kutembea na manati...

Aisee ni mengi sana.
 
.Kumwagia mchanga kwenye
. kidonda ili kipone haraka.
Kula chabo madisha ya gesti
.Ukitumwa dukani unaimba njia nzima sukari nusu kilo ili usisahau
.Ukinywa soda unaiongezea maji ili isiishe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwenda kuogelea mtoni (dindini)
kwenda shule na kopo lamaji na fagio
kwa wale wa vijijini kwenda kuwinda kware
kumwandikia demu wako barua kwenye zile karatasi za marashi zenye maua maua
kujifanya unaumwa ili usiendeshule...alafu ukipelekwa kituo cha afya dr haoni kitu..mtiti wake sasa..usiombee.
Kudindisha kola ya shati ili uonekane msela.
Kunyoa panki
mimi nilikua kama kuna ugeni home nafungiwa au dada anaambiwa aende na mimi kufua mtoni..maana hiyo soda mgeni hatainywa kwa amani jinsi nitakavyo mwangalia..
Nakumbuka mara ya kwanza nilimtembelea dada mjini akanipeleka disco la mchana...ilibidi anirudishe kabla hata ya mda maana ndani ya saa moja nilishakunywa soda nane...na pesa yake ikawa imeisha..mpaka leo tukikumbuka tunacheka sana...
Kutembea na manati...

Aisee ni mengi sana.

Hiyo ya kuogelea 2likua 2naita bichi kidimbwi, kichocho kikawa ni sehemu ya maisha ye2.
 
Back
Top Bottom