Recent content by rajabkisauti

  1. rajabkisauti

    Wazungu na waafrika ni viumbe hai tofauti kabisa wenye DNA zisizofanana

    Waafrica walikuwa wakwanza kuvumbua vyote kumbuka wahunzi na pyramid za misri ..walichofanya ni kufuta historia tuu Misri wakageuza jina ikaitwa Egypt.
  2. rajabkisauti

    Hivi madini hutokana na nini hadi yanakuwa madini

    Yataitwa madini kama yakiwa ni adimu kupatikana Mfano mfuko wa Rambo mweusi
  3. rajabkisauti

    Tetesi: Je, ni kweli majini/mashetani huogopa Nguruwe?

    Hapana majini wanawapenda Hawa viumbe kuwakaa katika miili yao
  4. rajabkisauti

    Safari ya roho na hadithi yenye kuogofya nyuma ya kisa cha taswira yake

    Kwa MTU alie Fanya mema kwa alieumba kifo huyo MTU huenda akapata hayo ulioeleza LAKINI alietenda ovyo Na muumba kifo Yatakuwa makubwa mno ..makubwa mno yasioelezeka
  5. rajabkisauti

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Kuna jamaa walimodify biblia kwa kutumia akilizao nyingi ndo maana tunaona mkanganyiko huu..biblia sio takatifu bali ni TAKA...tifu .....nakumbuka naanza kuisoma mwanzo : mungu aliumba usiku na mchana na nuru...baada ya siku kadhaa likaumbwa Jua ..sasa usiku na mchana utaanza vip haliyakuwa jua...
  6. rajabkisauti

    Baadhi ya namna za upasuaji za Leornado Da Vinci

    Nyongeza ukiachana na mwezi kupasuka marambili miaka ya 600 AD (reff quran)pia dunia itabadili mfumo wa kujizungusha hivyo hakuna kifaa kitakachoweza kuzalisha umeme(blackaut)..hayo marobot yatakuwa useless tutarudi zama za ujima tecnologia yoyote haitofanya kazi njaa na shida ilioje..then...
  7. rajabkisauti

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Tofautisha between aliens na malaika
  8. rajabkisauti

    Naishauri serikali ya Tanzania tuwe na barabara chini ya bahari toka Dar es laam mpaka Zanzabar hadi Mafia

    Japokuwa nchi yetu ni tajiri lakini haina pesa na facilities za kufanikisha hilo.. Ili kufanikisha itajikuta inahitaji wataalamu(wazungu) na pesa mikopo au msaada from benki ya dunia... Yaani tunahitaji maadui wa maendeleo yetu kufanya maendeleo maendeleo yetu..NI NGUMU KUFANIKISHA KWA SASA...
  9. rajabkisauti

    Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

    Tarehe ya uchaguzi itasogea mbele sipo kabisa
  10. rajabkisauti

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Kuna Tajiri mmoja muarabu dar alikuwa na magari jumla 120...ila nlishangaa alivyokufa hakuondoka hata na spea tire..hata nguo zake walimvua wakamzika na nguo moja nyeupe amefungwa kama pipi. Tukifa hakuna tunachootoka nacho zaidi ya mali na vitu visivyo shikika mfano wema, ubaya nk utajiri...
  11. rajabkisauti

    A BITTER TRUTH: Kwanini watu weusi walishindwa kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu (Whites) kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?

    Watu wa kwanza walikuwa weusi ..baada Khanna kuzaliwa weupe tukaanza kuwatenga katika miji yao ama kuwatupa wakawa hawana kauli kwenye jamii ya weusi..sisi tulianza wao wanamaliza hahahaha
  12. rajabkisauti

    Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Tunaishi ili tufate low of universe..tunaishi ili tufate sharia za alietufanya tuishi.
  13. rajabkisauti

    Kwanini mbu haambukizi VVU?

    we itakuwa kinyozi haya tujuze wateja wako wanaponaje
  14. rajabkisauti

    Kwanini mbu haambukizi VVU?

    Sindano ya mbu ina nje na ndani je upande wa nje ambao ulizama ukagusa damu
  15. rajabkisauti

    Kwanini mbu haambukizi VVU?

    Je nje ya sindano watamengenywaje ? Sio mbu tuu vip vifaa kama saluni cutters. Kuna ukakasi sana kwenye hili mkuu
Back
Top Bottom