Recent content by raisi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Habari. Kwanza kabisa hongera kwa kupata mtaji. Biashara ziko nyingi unazoweza fanya ila kwanza kabisa lazima ujue kuwa hiyo profit margin unayotaka haiko 'realistic' yaani ni ngumu sana kwa mtaji wa milioni 12 upate milioni 24 kwa mwaka. Biashara nyingi zenye faida kubwa sana huwa na risk kubwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye wimbo huu Wa k-mondo sound band

    Jaribu hapa k+mondo+sound+band
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Saida Kalori nomaaa kachanganya nyimbo za Diamond, Darassa, Belle9 ndani

    Amejitahidi, Ila mziki ukishapoteza nyota kurudi ngumu sana.... Saida Karoli Orugambo Free Mp3 Download
  4. R

    JamiiForums Tanzania ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Mp3 Download | Free Music Downloads - Mp3SearchTool
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa muziki tubadilishane nyimbo hapa

    Mp3 Download | Free Music Downloads - Mp3SearchTool
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye hili beat anisaidie tafadhali

    Titanic My Heart Will Go On Instrumental Mp3 Download | Mp3SearchTool
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliocheza game ya Nuclear bike!

    Of course! hii game iko addicting sana, cha kufanya kwenye stage ya 13, angalia njia inavyoonekana kwa chini ndivyo ilivyo kwa ile ya hewani ilivyokaa, so jaribu kutumia hiyo hint. Ukipita hapo kuna stage nyingine mbili tu umalize. Unaweza ku download challenging games nyingine kama hizi HAPA...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Arsenal wont win any trophy until New royal baby become a King

    account ya scoan ya twitter ni https://twitter.com/SCOANTBJoshua. na sio iyo uliyoangalia. watu wengi maarufu wanachafuliwa na watu wanaotengeneza account fake kwenye social networks mbali mbali. SOMETIMES IGNORANCE IS KIND.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Muziki wa bongofleva

    Nahisi ushindani umekuwa mkubwa na viwango vya washindani havijatofautiana sana ndo. Pia style za uimbaji ziko zinafanana hakuna anayeleta kitu tofauti sana. Ila hata hivyo wanajitahidi sana kubadilika nowdays hata videos ziko fresh sana..
  10. R

    JamiiForums Tanzania GET ALL NEWEST SONGS. Bongoflava na za Mbele Kibao

    usihofu mzee tunavyoweka tunasoma copyrights pia katika sheria za kimataifa inaruhusiwa kufanya tunavyofanya mkuu...//
  11. R

    JamiiForums Tanzania GET ALL NEWEST SONGS. Bongoflava na za Mbele Kibao

    hahahaaaa muziki.net ni website ya kawaida sana RAHATZ.COM ni crawler. Nime crawl website sio chini ya 1600 duniani ikiwemo na muziki.net . Zaidi ya download links milioni kumi za MP3 zimo ndani ya rahatz.com.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Monika Seka

    Jaribu kuangalia kwenye Link hii hapa huenda utaona jina www.rahatz/music/afro/mp3/monique_SEKA.html
  13. R

    JamiiForums Tanzania VIDEOS na AUDIOS MPYA ZA BONGO FLEVA.....

    Ni kwa tani yako @ www.rahatz.com click hapa kuiona
  14. R

    JamiiForums Tanzania PATA NYIMBO ZOTE MPYA ZA BONGO NA KIMATAIFA KWA HARAKA ZAIDIi

    maboresho yanazidi fanyika wadau endeleeni kudownload manyimbo at BONGOMP3 ila nakaribisha sana ushauri wadau. Thanx in advance.
  15. R

    JamiiForums Tanzania huawei ascend y300 unlock is here!!!!

    Mkiisha Unlock nendeni mka DownLoad nyimbo bure Bongomp3.xtgem.com
Back
Top Bottom