Recent content by rais wa mtaa

  1. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    GDP is the perfect measure of economic growth?
  2. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Dereva anahitajika Dar es Salaam

    0674010013 nitafute tuwasiliane
  3. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

    Nimekutumia ujumbe Pm mkuu
  4. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

    Tambua na kumbuka ya kwamba maisha ni safar ndefu ambayo leo yetu tunaijua lakn kesho yetu imekuwa fumbo kubwa kwetu. Ndio inalipa lakn sio kwamba nitakaa madarakani miaka nenda rud kuna ukomo wa madaraka kikatiba. Na sio kuwa raisi ufanye matumizi yasiyo halali, nahitaji kazi halali
  5. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

    No umenielewa vibaya, Sio kwamba baada ya kupata mshahara wangu na kukuza biashara yangu nitaacha kaz hapana
  6. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Nauza gari

    Asante kwa mwongozo!
  7. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Nauza gari

    Habari rafiki, na hongera kwa kuiona siku ya leo, Nauza gari sababu ya kuuza ni kubadilisha gari nyingine. Aina: Noah Number: D Siti: 8 Bei: 9000000 inaongeleka Note: Mimi ni mmiliki na si dalali, kama kweli unahitaji tuwasiliane kwa nitakutumia na picha pia, 0674010013
  8. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

    Ndio mkuu naweza kumudu
  9. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

    Habari ya uzima wenu wana jamvi! Mimi ni kijana wa chuo umri 24, mwaka wa pili katika usimamizi wa biashara Moja ya chuo mjini Dar-es-salaam. Masomo yangu ni jioni kuanzia saa kumi. Nje ya kusoma degree now nina cheti pamoja na diploma vyenye ufaulu mzuri tu (diploma 1 class). Licha ya...
  10. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

    Naomba nitafute Kama hutojar 0674010013
  11. rais wa mtaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari yenye thamani ya 5-7m

    Habar yako! Kama bado hujapata chek na Mimi 0674010013 Nina noah no. D
Back
Top Bottom