Natafuta kazi yoyote ya halali, pia iwe inanipa muda wa kuenda darasani

rais wa mtaa

Member
Oct 29, 2017
11
5
Habari ya uzima wenu wana jamvi!

Mimi ni kijana wa chuo umri 24, mwaka wa pili katika usimamizi wa biashara Moja ya chuo mjini Dar-es-salaam. Masomo yangu ni jioni kuanzia saa kumi. Nje ya kusoma degree now nina cheti pamoja na diploma vyenye ufaulu mzuri tu (diploma 1 class).

Licha ya kusoma nimekuwa nikifanya biashara zangu ndogo ndogo lakin nakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa mtaji. Nafkiri njia pekee ya kuweza kukuza biashara yangu ni Kuwa na mtaji wa kutosha na njia pekee ni kuweza kutafuta kazi ambayo hata Kama nikikopa nitakuwa na uwezo wa kulipa kila mwezi.

Nipo tayar kufanya kazi yeyote ilimradi tu iwe halali na iweze kuniruhusu kwenda darasani. Naombeni msaada wenu wakuu
 
Kwa Maelezo yako, ni kwamba una biashara hivyo unahitaji kuikuza hiyo biashara kupitia mkopo utakaopewa endapo utapata ajira/kazi.
Kwa mtazamo wa kawaida hakuna mtu ataweza kukuamini na kukuajiri. Umeshaweka sababu za wew kutafuta kazi ni kukuwezesha wew kupata mkopo na si kuwa productive and delivering the company Target/goals.
 
No umenielewa vibaya, Sio kwamba baada ya kupata mshahara wangu na kukuza biashara yangu nitaacha kaz hapana
 
wewe ni raisi sasa serikali yako hailipi ??
Tambua na kumbuka ya kwamba maisha ni safar ndefu ambayo leo yetu tunaijua lakn kesho yetu imekuwa fumbo kubwa kwetu. Ndio inalipa lakn sio kwamba nitakaa madarakani miaka nenda rud kuna ukomo wa madaraka kikatiba. Na sio kuwa raisi ufanye matumizi yasiyo halali, nahitaji kazi halali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom