Sasa kama ushafunga accounts wataka nini tena?? Munatafuta kick tu humu.....siku hao Barclays wakikukalisha hautosema na unaonekana issue za banking bado una ugeni nazo.........
International banks you better opt for the standard chartered bank only wako vizuri kila kona
Local bank i prefer...
Serikali ya Kenya chini ya Uhuru Kenya imeendelea kutikiswa na ufisadi wa kutisha baada ya kubainika Jaji wa Mahakama Kuu Philip Tunoi Amejichotea dola milioni mbili sawa na shilingi bilioni mbili zaKenya kutka kwa Gavana Evans Kidero wa Nairobi mnamo mwaka 2014 ili ashinde kesi ya uchaguzi<br...
Kwa taarifa yako Watanzania Jeshi letu tuna imani nalo kwa kila kitu hivyo vi report vyako uchwara mpelekee........
Africa na Dunia inajua weledi wa TPDF/JWTZ..
MK254......am sorry ila nahisi ulizaliwa kwa bahati mbaya.....mara nyingi sana unaleta mada za uzushi na ugombanishi kati ya KDF vs TPDF kwamba who is stronger than......leo umekuja na tuhuma kwa jeshi letu.....khaa
Embu samahani....tuwekee CV yako hapa na if possible na academic certificates...
Salaam,
Wadau natumai mumeshuhudia na kuskia kilichotokea huko India ambapo mwanafunzi mtanzania amedhalilishwa na mwingine inasadikika kuawa huko nchini India.....
Je; hivi mbona tunavumilia sana sisi Watanzania?
Je; Hawa wahindi waliopo Tz na ambao hatuoni namna wanavyosaidia japo kuisaidia...
#tunataka kuskia kauli ya jeshi letu....hii ni fedheha maana hata askari wa aina hii kuisaliti nchi vitani ni rahisi sana....Inakuwaje unabakwa na boda boda mwenye mafunzo ya kuendesha piki piki tu? Huko mstari wa mbele kuipigania nchi itakuwaje?
Hii habari ichukuliwe serious maana hapa tz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.