Recent content by Rainbow

  1. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Njia panda: Itakuwaje Babu wa Loliondo akiumwa na kupelekwa hospitali?

    atatokea babu mwingine na kumpelekea kikombe
  2. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    mnaacha kujadili thread ya mleta mada mnaanza kujadili udini!!!
  3. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Mch. Mwasapile vs. Mch. Rwakatale

    You're very wrong my friend. kwanza spelling za hilo jina, pili, kama kuna mtu amekwambia kuwa Muhammad (pbuh) ndie alieanzisha uislam huyo amekudanganya. na km kuna mtu amekwambia kuwa Yesu (amani juu yake) ameanzisha ukristo nae pia kakudanganya. go do your homework properly.
  4. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Watu wataambukizana ukimwi huko huko
  5. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Vicky Kamata aokoka

    Majaribu yote haya kuna kuokoka? Labda useme kuna kuamua kujitahidi kuyashinda majaribu. So, HAKUNA KUOKOKA!!!
  6. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Wote wanatumia nguvu za giza.
  7. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Kutana na msanii sexy wa filamu Shilole

    subiri skendo zao
  8. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

    kuna watu wanasema ukitaka kujua kama mwanamke ni mzuri kwa sura umuone wakati ameamka hasa asubuhi
  9. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Kiti MOTO hiki ni BALAA

    Pointless!!
  10. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Kiti MOTO hiki ni BALAA

    If you have nothing to say, say nothing!
  11. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Kiti MOTO hiki ni BALAA

    Leviticus 11:7: And the pig, though it has a divided hoof, does not chew the cud; it is unclean for you. Deuteronomy 14:8: The pig is also unclean; although it has a divided hoof, it does not chew the cud. You are not to eat their meat or touch their carcasses.
  12. Rainbow

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mbowe, Marando, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika

    Hivi ni nani aliyewapa uhakika kuwa mnaebadilishana nae mawazo ni slaa wa kweli? au ni hiyo username?
  13. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Vidume wewe utachagua yupi?

    Ukimchagua B, utakiona cha moto kutokana na meno yake. Ukimchagua A, utakuwa na kazi ya kumbeba mkiwa nchi kavu.
  14. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Angalia, anaandika maneno mengi hadi anajisahau kuwa anaandika:
  15. Rainbow

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Hivi huu waraka aliutoa ktk gazeti au ulikufikiaje? km aliutoa ktk gazeti basi amekusudia kufanya hivyo kwa lengo la kujiongezea umaarufu kuwa yeye ni "mzee wa busara", na wasomaji wake wamuone hivyo. Ameshindwaje kuwakabili wahusika na kuwamwagia "busara" zake?
Back
Top Bottom