Recent content by Raia mpya

  1. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

    Mapenzi ∝ Pesa
  2. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Mimi binafsi ni Uchumi mdogo tu ndio unanizuia kuingia kwwnye mahusiano
  3. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    hadi wewe ka mkubwa unatqkq kunipora kijana wako😁
  4. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    dah basi mimi ndio inanipata hali hiyo hata siamini naona kama nachezewa mchezo hivi
  5. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    tulipima tukamuta wote tupo fresh
  6. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    sikati kwq shemej mimi
  7. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    kwa nini kaka
  8. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    hapana sio vizur
  9. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Napendwa kupita kiasi

    Kuna huyu dada nimekuwa kwenye mahusiano nae miezi mi 3 sasa ila cha ajabu ni kwamba ananipa hela kuliko kawaida , hii hali kwa kweli inanitisha muda mwingine hata sijamuomba ila unastukia ka laki hako kwenye simu, sasa naomba kuuliza hii ni kawaida au kuna mtego pengine nawekewa labda jambo...
  10. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kuandamana, tuanze na wazanzibar kukataa kushirikiana nao kwa jambo lolote lile

    Tungeanza na kuwakatia umeme kwanza washike adabu
  11. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    basi jibu tanga ishaondolewa hadhi
  12. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    sawa ila point ivyo ivyo ilivyo mbona inasahaulika na ipo kundi moja na wenzake
  13. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    mbeya ni mbugani kabisa bora Tanga
  14. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    sisi watu wa Tanga inatuuma sana, serikali inatusahau halafu mwisho tunaambiwa sisi wavivu
  15. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    hata kama ila serikali si imetenga bajeti kwa ajili ya majiji, kwa nini Tanga isiwepo?
Back
Top Bottom