Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Specifications za laptop ni kama zifuatazo
Model: HP ELITEBOOK 830 G5
PROCESSOR TYPE: INTEL CORE i5 8350U 1.9 ghz up to 3.6ghz
RAM: 8GB DDR4
STORAGE: SSD 256 GB
PORTS: TWO USB 3.0 PORTS, 1 THUNDERBOLT 3 PORT AMBAYO UNAWEZA TUMIA KUUNGANISHA...
Hii sio kwa kada zote, kwa wahadhiri na wakufunzi ni 70. Watendaji wa wakuu wa taasis (CEO) alama zao ni sitini, na watendaji wakuu wa vyuo nao alama zao ni 70. Hizo kada nyengine tofauti na hizo nilizotaja hapo ndo alama yao ni 50.
Nakusihi pitia Rule 16 of the Public Service Recruitment...
Alikuwa sahihi wala hakukulisha tango pori. Kwa mujibu wa Kanuni no. 16 ya Kanuni Za Uendeshaji wa Shughuli za sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma za mwaka 2021, alama za ufaulu kwa kada za wahadhiri na wakufunzi ni 70 ila kwa kada nyengine kwa mujibu wa kanuni hiyo hiyo ni 50.
So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.