Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

Kwa hiyo ndio zimeanzishwa sasa?
Hapana Mkuu kuna baadhi ya Kozi huwa zinahiyaji wataalam kutoka Field husika.

Mfano Chuo cha Muhas lazima ukute Lecturer wa Development Studies (DS) , LECTURE wa IT. japo hizo coz hawatoi hapo.

Kiufupi OUT wana coz z Education so lazima wasake wataalam kwny Field husika
 
Mi zipo 55
Duuuh watu mna Raha kweli kozi 36 ndani ya miaka mitatu basi tulia mkuu relax utatoboa tu.
Me Bachelor yangu Niko na zaidi ya courses 45.. kwahyo kama mambo ya interview hapo nitakuwa naangalia mambo muhimu na applicable yanayoendana na post husika.
 
mkuu nime assume tu ninazo obvious 44 kiujumla
 
Interview itategemea na chuo wanataka walimu wao wawe na skills gani za muhimu...
Ila mimi niliitwaga kwenye interview sehemu fulani,waliniambia niandae power point presentation isiyozidi slide 10,na nilitakiwa niiwakilishe ndani ya dk 25 tu.
Pia upitie teaching methodology zitakusaidia makuu.
 
Hapana Mkuu kuna baadhi ya Kozi huwa zinahiyaji wataalam kutoka Field husika.

Mfano Chuo cha Muhas lazima ukute Lecturer wa Development Studies (DS) , LECTURE wa IT. japo hizo coz hawatoi hapo.

Kiufupi OUT wana coz z Education so lazima wasake wataalam kwny Field husika
Nimekupata mkuu
 
hahahha nikivuka Written nitaanza nalo jili
🤣🤣🤣🤣🤣

Daaahh, akili sijui iliwaza nini nilianza kukukumbusha kitu cha mbele, hii long waiting nayo inavuruga kichwa
 
Back
Top Bottom