Unafananisha mbingu na ardhi sio? Wenzio hizo nchi zimeshaanza kuwalipa pesa za kujikimu wananchi wake. Kima acheni kujifungia ndani tembeeni mkaione dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwangalie pimbi huyu yani unajisifia kabisa kumuumiza mwanamke katika karne hii?? Utakua either umelelewa maisha ya kichokolaa or unaishi kwenye umaskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa akiri mzee, mdau ametumia vyanzo vyake makini kupata taarifa ambazo pasi na shaka zimeonyesha uhalisia wa tukio zima, Kama na wewe una mambo ambayo unataka kuyaweka wazi kwanini usifanye mwenyewe mambo ya jina sijui email for what for? IF you are a real men just do it.
tatizo la ccm inalazimisha kukubalika inatumia nguvu nyingi sana kujiainisha kwamba inakubalika kumbe kiuharisia haikubaliki, wanashindwa kujua kwamba watanzania wa leo wanauwezo wakuchambua mambo, inaingiaje akilini kila kukicha the same story flani kajiunga na sababu zao zote zinafanana kuunga...
mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe, ccm ni wepesi kama karatasi kujipambanua kote huko lakini mnawagwaya wapinzani kama mnajiamini kwanini msiruhusu tume huru ya uchaguzi? endeleeni kuwaita Mabeberu huku mnapeleka bakuli kinyumenyume.
Adroid naweza kusema zimetengenezwa kirahisi kwendana na watumiaji wake ndio maana Dunia ya kwanza ukitaja simu fasta ni Iphone kwasababu inaubora wa hali ya juu na isitoshe vitu vyake vingi nivyakununua
Hilo lengo lenu litawa-cost big time ,maana jumuiya ya kimataifa watawabana kila kona, kwakua ccm vichwa vyenu kama kuku kishingo endeleeni kushupaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota, Chadema ni taasisi imara na inazidi kua imara sasaivi ili uwamini jaribuni friend match tu bila police na tume ilio huru japo ya muda tu, You will thank me later
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.