Hakuna mbadala wa CCM kwa miaka 100 ijayo

Hakuna mbadala wa CCM kwa miaka 100 ijayo

Wapi nimeandika Mtanzania kumtawala Mtanzania ni ukoloni?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua tofauti ya "Kwaio" na "kwa hiyo"?

Wapi nimetaja CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel nyie chadema watoto wa mama mmoja mana wote ni wazee wa kuropoka alafu mnakana kweli nimeamin ule msemo wa kiranga ukome
Screenshot_20200224-134802.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama
mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe, ccm ni wepesi kama karatasi kujipambanua kote huko lakini mnawagwaya wapinzani kama mnajiamini kwanini msiruhusu tume huru ya uchaguzi? endeleeni kuwaita Mabeberu huku mnapeleka bakuli kinyumenyume.
 
So what!!! Ulishawahi sikia mbadala wa shetani toka alipomuasi Mungu!
 
Bila TISS Na police? Ccm weupe tu? Unamkataza mnyika asifanye mikutano.wakati huohuo bashiru anafanya? Uoga huo. Weka bampa to bampa uone kama unatoboa.wewe unategemea polisi tu hakuna lolote hapo. Namalizia kuandika andiko langu nikuoneshe mlivyoiba kura mwanza 2015. Nitaweka hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu tumeshajengewa hofu, Ukiweka mods wataificha, kufanywa kama azori watu wanaogopa
 
Kuna watu mpaka leo wanadunda mtaani huku walichukua mlungula wa Escrow,kuna hawa akina chenge tunaowajua na wale ambao hawajatajwa mpaka leo ambao walichota na sandarusi!
Halafu mnasema chama cha kizalendo,kenge kabisa!
 
Chama cha kizalendo kabisa, hatuna chama kingine zaidi ya CCM

Chama kilichoasisiwa na wazee wetu waliokuwa wakweli, Wazalendo, wacha Mungu, ambao hawakuwa na tamaa ya mali

Wamekufa wameacha maono yao yanaishi hawa hawakuhitaji kufungua acount ya kuficha mapesa nje ya Nchi kama wanavyofanya Wapinzani wa sasa

Vyama vingi vinavyanzishwa ni ujasiriamali wa tumbo

Tena ikiwezekana serkali ivifute Kwani vinachelewesha kasi ya Maendeleo
Vimekuwa vikitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

CCM chini ya Rais wetu mpendwa Magufuli ndio inayotegemewa katika kuhakikisha Tanzania ipo salama

Wewe mwenyewe umesema kiliasisiwa na wazee wenu na washakufa. Ukweli ni kuwa wamekufa na chama chao!

Wewe unafikiri, for argument sake, Nyerere afufuke sasa hivi na aione hiyo safu ya CCM, lazima ampige Kikwete kibao mbele ya watu!
 
CCM mnaibaka demokrasia yetu bila kinga...Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom