Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza.
Ukikumbuka ulipokuwa sekondari ulianza kukutana na watu tofauti tofauti kutoka maeneo au vijiji fulani fulani...
Kudadadeki bora walivyonikata mie ktk usaili unaambiwa huko seminani mambo ni moto mambo ni [emoji91] tuseme tu wasili aiseeeeeee mliupiga mwingi koz sijatoa ongaonga nimepoteza nauli tu poleni sana mnaopata taaaabu licha ya kufanya janjajanja lakini leo mnalia hamlipwiiiiiiii poleni sana
Maswali kumi utafikili nilikua necta dah halafu anaeuliza ni mkuu wa shule alienisaidia kutuma maombi anaefuqtia mkuu wa shule jiran tulienda kucheza ball tukatia fujo shuleni kwao anaefuqtia m/kata ana kisirani na mzee ,, [emoji26]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.