Recent content by Rahim Ahmed

  1. R

    Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    ha ha ha haaaaa! haswaaa, wakionaga hivi ndio wanaanza kuvurugwa na kuomba msaada wa polisi mahakama etc But this time tutapambana nao hadi kieleweke tu
  2. R

    Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    Ndio Standalone Na punde nako NKM Salum Mwalimu atapiga pande za kusini ili kila mtanzania aonje na kusikia neno la ukombozi
  3. R

    Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    Safi sana Kamanda Mbowe tunakushukuru kwa kuwa mtu wa vitendo, sio maneno. Ungeweza pia kukaa ofisini ukawa mtu wa kutoa maelekezo tu lakini badala yake uko field ukitekeleza kwa vitendo. Huo ndio uongozi, kuongoza kwa vitendo Mkutano wa leo bila shaka utanoga sana. Mkuu Standalone na...
  4. R

    Naipenda sana CCM, hutaki acha

    Heh huyu nae vipi, utakuwa #mchawi sio bureee
  5. R

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Mkuu tunakushukuru sana kwa live update ambazo ziko summarized, thank you kamanda Standalone wana-Ukerewe na watanzania wote kwa ujumla tupo mkao wa kumsubiri kamanda wa anga, Mbowe kesho. Tuna hamu ya kusikia neno la ukombozi kutoka kwake, tumechoka na mfumo wa kinyonyaji wa CCM, tumeichoka...
  6. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Mkuu Eistein, kwa mwendo huu hakika kilichobaki sasa ni CHADEMA kuingia magogoni come october 2015. Wananchi wana imani sana na CHADEMA, wamechoka mfumo wa CCM na serikali yake, sasa wanataka mabadiliko na haya yote wanaona watayapata kwa CHADEMA. Leo hii, CDM iko kila kona ya nchi yetu, mijini...
  7. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Wakuu, Kila mtanzania mpenda maendeleo, mpenda haki kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho ni lazima tuhamasishane kushiriki kikamilifu katika uamuzi wa mustakabali wa nchi yetu hasa kwa kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya siku. Hamasa iwe ni...
  8. R

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Endelea na hallucinations zako, sie tunaendelea kuwakomboa watanzania wenzetu. Mtu kama wewe is the reason why our country is lagging behind in socio-economic progress despite all the natural resources we are blessed with. Shame on you!
  9. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Mkuu Eistein taratibu basi kamanda, lumbumba na vibaraka vyao wakisikia hii matumbo yatahara full, hapa yenyewe hawajiwezi wako full taabani. Makamanda wamejipanga sasa ni piga kote kote, lazima kila mtanzania asikie neno la ukombozi. Come october 2015, ukombozi kamili utapatikana viva...
  10. R

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Duh Aiseee, yaani CHADEMA wako kila kona ya nchi hii - Kamanda wa anga Mbowe huku simiyu, salum mwalimu kule njombe, mnyika pande zingine duh hapo sasa naona maCCM yanahara ni full muziki hadi kieleweke. Hongera sana CHADEMA, hongereni makamanda. Tuendeleee kupiga neno la ukombozi kila kona...
  11. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    He he heee kumekucha! Tunataka chama makini chenye kujua matatizo ya watanzania kwa ufasaha na chenye majibu ya matatizo hayo. Chama hicho ni CHADEMA pekee kwa sasa Tunataka chama chenye kueneza siasa za kistaarabu hata kama dola inawabana na kuwanyima haki ya kufanya siasa kwa uhuru. Chama...
  12. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Kiongozi Mkuu aka Ayatoolah, CEO na Mfalme wa ACT! Daaaah huyu jamaa anapenda sana madaraka aloooo
  13. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Wewe mburula R.B ebu acha kuwa mpuuzi kwenye mambo ya msingi. Mnavyompamba jamaa yenu huyo na uongo mwingi ndivyo anavyozidi kudharaulika. Big up sana kwa kafulila, aendelee kuwa moto na wasaka sifa wasizostahili kama huyo Kabwe ampotezee tu
  14. R

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Njombe

    Safi sana chama la ukombozi, Eh bwana naona sasa Tanzania nchi yangu nikupendayo inakombolewa fastaa than I thought. Kwa wenzangu wote, watanzania wote tunaoishi mbali na bongoland kwa sasa tuangalie namna ya kutoa sapoti kwa ajili ya harakati hizi peopleeeeeeee!
  15. R

    Msafara wa Chenge wadaiwa kupiga risasi hewani kuvuruga mkutano wa Mnyika Bariadi

    mkuu Chademakwanza najua wewe utakuwa kiongozi mkubwa ndani ya CDM hasa BAVICHA Tafadhali fikisha ujumbe huu kwa viongozi wakuu wa chama kwamba sisi wananchi tuna imani kubwa sana ya ukombozi kutoka kwenu. Tuonapo opereshen kama hizi tunafarijika sana kumoyo peopleeeeeeez !
Back
Top Bottom