Recent content by Rahajipe

  1. Rahajipe

    Je, una nini la kusema juu ya Sherehe za Jana na yaliyotoke Uwanjani?

    Kwangu mimi niliona kama vile walipata mwanya wa kutoa vitisho hata kwa wananchi ili kuonesha kuwa pindi serikali tatu zikija na jeshi linauwezo wa kufanya lolote kwa kuwa wana zana zote. Kwa lugha nyingine nyepesi; zile zilikuwa propaganda tu na kutumia resorces nyingi pasipo sababu.
  2. Rahajipe

    Dk 45 ITV J3 Warioba Kunguruma

    Asante kwa taarifa! Aje awachane LIVE hao wanaomkandya.
  3. Rahajipe

    Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

    Yawezekana kukupa taarifa hizo ni unafiki wa kutaka kukuweka sawa ili machoni pako aonekane ni mwaminifu!! Kwa maana nyingine anakufumba macho ya fikra pana kwa kukuaminisha kuwa kila afanyacho wewe unakijua kwa hali hiyo awapo kimya basi yupo tu! Na wewe utatulia ukijua kuwa yupo tu! kumbe ndio...
  4. Rahajipe

    Je, wewe ukikutana na mwanamke huyu utafanya nini?

    Heri ya PASAKA wana JF wote na hususani wana MMU! Yawezekana wewe unayesoma hii mada upo mzima ki mwili, ila ki hali upo taaban sana kutokana na nijirusho ya weekend ndefu iliyopita. Wana MMU, naomba kwa hadhali kubwa tusaidiane kutoa mawazo yanayotokana na uzoefu tulionao katika maisha yetu ya...
  5. Rahajipe

    Picha ya leo

    Nimeipenda hiyo
  6. Rahajipe

    Mrundi afungwa mwaka mmoja nchini Uingereza kwa wizi wa debit card ya bibi kizee na kutoa pesa

    Tatizo ni kuwa sasa hivi baada ya watu kuona kila kiongozi amekuwa mwizi, sasa na jamii kwa kila nafasi mtu aipatayo anaitumia kwa kutengeneza pesa bila kujali kuwa ni halali au haramu. Hii ni tofauti na enzi zetu ambapo mtu akiokota kitu alikuwa akipeleka kanisani au msikitini. Leo wewe unaweza...
  7. Rahajipe

    Je, ni sahihi Diamond kutumika kwenye Kampeni ya TUPO WANGAPI?

    Kama Ney mwenyewe alimuuliza hiyo ni tabia gani ya kuchanganya mabinti kama kokote iweje yeye aje kutoa somo la tupo wangapi? Kama mimi ningekuwa mfadhili wa mradi huo, haraka ningewanyang'nya pesa yangu.
  8. Rahajipe

    TANZIA: Diwani wa CCM kata ya kasanga(sumbawanga) afariki Dunia

    Pole sana Marehemu Diwani, ila tunafurahi kwani hilo litakuwa ni la CDM soon.
  9. Rahajipe

    Kwa hali hii, bado changudoa wana umuhimu katika jamii

    Hapa ukweli upo japokuwa akina Kongosho, rala 1, Binti.com, nk watalalama.
  10. Rahajipe

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    @lara hata hiyo inatosha bhana, wa kuelewa ameelewa na kama mtu hajaelewa basi asubiri yamkute tu.
  11. Rahajipe

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Its bad news kwa kweli, lakini kwakuwa binadamu tumezaliwa kwa kuishi na kufa haina budi kututokea R.I.P Mzee wetu Kulola.
  12. Rahajipe

    Katika nchi hii kama sio mvivu kuna mengi ya kuandika!

    Usemi wa …. “Mtanzania ukitaka kuficha pesa weka katika kitabu!” Sio wa ajabu. Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uvivu wetu wa kufuatilia mambo yanayoihusu nchi yetu na jamii yetu kwa ujumla. Yawezekana sote tusiwe na nafasi za kusimama kwenye majukwaa ya wazi, lakini kama tutashika kalamu na...
  13. Rahajipe

    X wangu ni mke wa muheshimiwa,anataka tena

    Mke wa mtu sumu. ACHANA NAYE.
  14. Rahajipe

    Nategemea kupeleka hii Hoja yangu binafsi Bunge la August 2013 kuhusu Ajira kwa Vijana

    Haya Bwana!! Agenda yako nimeihifadhi sehemu, baada ya kikao hicho tutarudi sasa kuijadili.
  15. Rahajipe

    Paul Kagame kulihutubia Taifa leo

    Kama upo pande hiyo tujuze anachotapika tafadhari.
Back
Top Bottom