Recent content by RAGERO

  1. R

    JamiiForums Tanzania Modestus Chogga, Maarufu kama Chogga mdadisi ni nani?

    Sasa hao wanatusaidia nn kwa sasa?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Kipindi hiki kuandamana sio rahisi, wote wanaijua nguvu ya dola!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, kesho ndio siku "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?

    Mkuu, ungetufafanulia tujue maana yake, kwakweli umetuacha njia panda!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nasubiri Kubenea aje kutengua kauli ya MwanaHalisi!

    Akiitengua utamfanya nn?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC, UHURU FM na STARTV ni mali ya CCM?

    Navyojua mimi ili habari irushwe hewani lazima ilipiwe, kama wahusika hawalipii TBC na RFA, basi sio rahisi kuwaona hewani kwenye hizo media.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

    Ukiwa ndani ya serikali sio fisadi, ila ukitoka tu wewe ni fisadi, inachekesha sana!!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Mbona hizo tv zinaonesha vitu vingine! tuambie wanaanza muda gani?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ningeshtuka kama nyomi la Lowassa lingekuwa la Mbowe

    Bila tume ya uchaguzi kubadilishwa ni ndoto vyama vya upinzani kuingia ikulu labda wategemee kuongeza wabunge tu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Anahangaikia nn wakati Muda wenyewe ulobaki ni mfupi, kaa mzee usubirie pension yako nono. Waache wenye kiu ya madaraka wapigane vikumbo kwenye majukwaa.
Back
Top Bottom