Nkosi Sekeleli
Member
- Jan 29, 2014
- 35
- 37
Wana JF,
Nimekua nikisikia majina ya wanasiasa nguli wa miaka 1960s Jina la Chogga limesikika kama ni miongoni mwa wanasiasa waliopata kutikisa Nchi hii akiwa Mbunge wa Iringa Kusini wakati huo(1963-65), inasemekana aliingia mgogoro na Mwl.Nyerere akafukuzwa Bungeni akiwa na webzake 8 akiwemo. Tuntemeke Sanga, Kibuga, Anangisye wa Mbeya na Joseph Kasela Bantu wa Tabora.
Mwenye ufahamu ni mtu huyu tusaidiane
Cc:Mzee Tupatupa n.k