Huyu mropokaji na mada zisizo na vielelezo ni sawa kichwa cha wendawazimu. Nasema kukichafua cdm si jambo jepesi hata kidogo. Namshauri aacha kunya humu jamvini.
Nikwel huyo Zitto tatizo kigoma na kwa cdm kiujumla kwan hana mpango na kigoma wala chama ila kujijenga mwenyewe na maslahi yake kwani mara nyingi anaibua hoja na sioni mwisho wake. Makamanda twendeni tukawakomboe wanakigoma.
Hata kama ni wewe utajisikia pale unapoambiwa ukae meza mmoja na wauaji wa familia yako? Jamaa yetu angemwita pembeni na kumwambia peke yake na siyo kwenye mkutano wa AU.
Nakuunga mkono kwenye baadhi ya hoja, badala ya kutumia fedha kuhonga waandishi na kuwashawishi wananchi ni vema wakazitolea maelezo hoja hizi zilizopelekea kuwepo kinachoitwa kero za muungano.Ni kwani CCM hawataki serikali inayoshughulia masuala yasiyo ya muungano kwa upande wa bara iwepo?
Kama kweli wameandika hivyo tatizo siyo gazeti bali ni mwandishi na kama amefanye hilo na wahariri nao wamo wakionesha upungufu wao katika uandaaji wa habari. Wasiwasemee wanafunz waliofel wajiongeze na wao hapopo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.