Recent content by Rafiki Mtz

  1. R

    JamiiForums Tanzania CAUTION; simu za camera za wenza hutumika kukufotoa ukiwa uchi room then unaanikwa

    sensitive data ziwe na password kwa usalama. Kuna umuhimu gani WA kuhifadhi picha zisizo na maadili? Unapata faida gani kuonesha picha za maumbile ya mwenzi? Naona cha muhimu tuachane na kuhifadhi picha zisizo na staha!
  2. R

    JamiiForums Tanzania CAUTION; simu za camera za wenza hutumika kukufotoa ukiwa uchi room then unaanikwa

    Kwa nini uweke nude photos????
  3. R

    JamiiForums Tanzania Acheni kulilia mapenzi

    Big up mkuu!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ujinga tu

    Shukuru Mungu hupotezewi muda. Cool down. Kila jambo na wkt wake.. Kila ndege lazima apate corresponding fitting partner! Usimlazimishe Mungu km we ni muoaji! You need not sth better but the best...and the best is hard to attain/reach at.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ujinga tu

    Mapenzi hayalazimishwi. Lazima kuwe na balance. Vinginevyo pingu mnazijutia!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ujinga tu

    The boss na Bulldog mnafanya mbavu zitabasamu! Bless you!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake na matiti yao...

  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake na matiti yao...

    Sawa shujaa!!!???
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

    Big up mkuu kwa ku summarise vzr! Ukiona mtu anachepuka, hakuna sababu nyingine..hana huruma, hana upendo wa dhati kwa mkewe ama kuna mawazo ameyaruhusu yamfanye mtumwa wa ngono!!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

    Mkuu naomba kutofautiana na msimamo wako: Unless unasimamia point yako kwa kuchukua sample kubwa ya wanaume malaya.Wanaume wenye maadili, wenye kuheshimu wanawake wanajizuia. Kwa upande mwingine, kama mtu anataka kufuata moyo wake utakavyo, ni wazi swala hilo si la mwanaume peke yake...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hi JF members!

    Funny! Bila shaka ni confidential.Edible or non edible huenda ikawa technical jargon...naomba ufafanuzi Mkuu!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Why are black women so argumentative? Melisa Ortiz anasema kweli?

    Nasubiri mwenye mada aweke nyama kwenye skeleton ili mada ipate kuchangiwa kwa kiwango cha kuridhisha kitakachoongezea watu maarifa.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Una miaka 30 hujaolewa? na bado, utaona moto

    Eli79, umekuwa compationate,empathetic to ladies - nimekukubali.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hi JF Members

    Tunajifunza kila siku mkuu! Asante sana kwa ukaribisho!!
Back
Top Bottom