Kaka uchaguzi umeisha hata Magufuli mwenyewe aliwasisitiza wapinzani waache tofauti zote wamsupport kujenga nchi. Pia haiwezekan wakati wa uchaguzi wote wawe upande mmoja mzee, nini maana ya demokrasia sasa
Nasikitika wengi waliahid kunisaidia lakin hawakufanya hivyo, nimepata sh laki 1 tu. Mungu kuwa nami msaada wa mwanadamu ndo umeishia hapa. Ahsanten uongozi wa Jamii forum kwa kuonesha Nia na pia kunisaidia, Mungu awabariki sana. Nini kinafuata baada ya hapa sijui itajulikana mbele kwa mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.