Recent content by Radium

  1. Radium

    JamiiForums Tanzania Kampuni za alcohol ziweke bomba pipeline katika majumba watu walipie bili kila mwezi

    Yani hata vituo vya mafuta havina mabomba ya mafuta, bar hazina mabomba ya pombe afu ww uwekewe kwako 🦧
  2. Radium

    JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

    Umejuaje ni urusi kupitia picha hii
  3. Radium

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyefunika kichwa chake na akatwe nywele zake, Wakorintho 11:1-8

    Eti wametulia 😃😅, kina nan hao wametulia
  4. Radium

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyefunika kichwa chake na akatwe nywele zake, Wakorintho 11:1-8

    Sas mkuu hayo mengine mmejuaje kuwa na yenyewe hawaambiwi hao watu wengine? Kama hili haliwahusu hayo mengine yanawahusu je au unaamua tu?
  5. Radium

    JamiiForums Tanzania Picha: Maelfu wamekusanyika Kuchukua Maji ya Upako Bukoba

    Bora wale magaidi wanafanya mambo ya kuzingatia kidogo 😁
  6. Radium

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiiga movements za "Rock The Vote" organization, watashinda uchaguzi 2030 kwa kura mpya za Gen Z

    Sas upige kura wakt usomi wako unakuambia anayeamua nan ni mshindi ni mtu fulan na huwez kumpangia
  7. Radium

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kila mmoja wetu hapa akiihoji na kuichunguza dini yake kwa kutumia akili yake binafsi mtambuka hakuna ataebaki kuwa mhanga wa doctrines

    Mitume katika uislamu walikua wanakuja kurekebisha walimwengu waliokengeuka. So mtume alikuja kusahihisha panapokosewa. Ukitumia kigezo cha muda kuna watu walikuwepo kabla kuzaliwa yesu na walikua na dini zao, bas tuseme hadithi za kiebrania zinazoitwa za kikristo pia ni za kukopi kwa dini...
  8. Radium

    JamiiForums Tanzania Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Natamani young africans wachukue caf cl alafu simb waishie nafasi ya 5 NBC pl. 🙏🏽
  9. Radium

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutag

    Radium
  10. Radium

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  11. Radium

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Allah Nani aliye muumba mwenzie?

    Watu wajibu swali nani ni Mungu na sio nani sio Mungu. Toa fact kwann A ni Mungu na B sio
  12. Radium

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    Onedrive auto backup [emoji23][emoji23]
  13. Radium

    JamiiForums Tanzania What's your problems guys? Money or Women?

    Women sleeping on my lot of money
Back
Top Bottom