At last mmefanikiwa japo kama wanadai gharama mlipigwa kimtindo...kwa uzinduzi huu hongereni sana majirani sasa ni fursa kwenu kufanya mradi huu uwe wa manufaa kwa nchi, nimeona hata kusafirisha kontena moja kutoka Mombasa mpaka Nairobi imekua 1,100,000tsh( 50,000ksh) hii imekaa poa sana...
Very educative and inspiring thread kaka..kudos for real...if there is stil vacant to attend the training please count me in...all the best kwenye maandalizi na team yako, this is awesome thread
Have fun as its last, siku akija jua mumeo unaliwa nje haiya weee...utakua mdogo kama pilitoni..enjoy as u can but be ready to count ua losses akija jua na hio supa mtaribo yako itakua hukoooooo
Ni sawa kujenga Nairobi iwe HQ yao hata hivyo ni bora kuliko wakiwa na ofisi China, sasa hio.ofisi naamini itahudumia investment zao kwa hapa Africa ikiwemo Tanzania, cha msingi na serikali kuedelea kuweka mazingira safi kwa wawekezaji wavutiwe na nchi yetu, hatuna haja ya kujifananisha na...
Haswa Mkuu na hawa wenye hizi kampuni naamini watakua wanafanya utafiti ni wapi pana returns za.uhakika kwa biashara zao...kwa sasa hatuhitaji hizi assembly labda miaka ijayo..Kenya hata fuso na canter wanaingia show room..sasa hapa ni used imports...kwa hapa tunahutaji viwanda vya kuongeza...
True kaka but also we need a cap used cars import at 8ys or below..mostly new cars are bought by the govt n rarely u see mwananchi wa kawaida going for the new year ones...
Oil zipo mpaka kilomita 15,000 especially kwa lorry, sasa hizi gari ndogo kilomita 3,000 ndio mazoea ya wengi japo zipo za mpaka kilomita 7,000 na kuedelea..oil pekee haitoshi kutumia Filter nzuri na yenye kiwango ni muhimu sana...oil pia inategemea na gari lenyewe inatumika wapi kwa mfano...
Pole sana ndugu kwa haya yanayokusimbu, hapa ushauri wangu na je mpaka sasa umeshawai kupata vipimo kwa wataalam kujua haswa tatizo ni nini...jaribu Aga Khan umuone Dokta Shafiq wengi akina mama wanasema yupo vizuri..all the best
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.