Recent content by r tumbwiza

  1. R

    Hi kitu ni ya kweli msaada wakuu gwec investment

    Check me on whatsapp for more detail 0716512933
  2. R

    Gwec-vip.com investment

    sisi wa fic tusubirie kidogo maana juzi beti ilikataa wakaturefund
  3. R

    Hi kitu ni ya kweli msaada wakuu gwec investment

    ndugu mimi nimewekeza mwez wa tatu sasa na agent comission ya hadi 100k kwa kila week
  4. R

    Hi kitu ni ya kweli msaada wakuu gwec investment

    hao jamaa wanatumia au wanakwenda na upepo wa fic ambao ni waanzilishi sasa kama unataka kuwa mwekezaji wa uhakika ishi na hii link https://mobile.fic.cc/signup?code=96222164
  5. R

    Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    viti maalumu ama maana inawezekana ikawa ndo ujira wako
  6. R

    CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

    wewe siyo kijana usijivike ujana pasi unamawazoo yaliozeeka sawa
  7. R

    Jiji limezizima

    moro wakasome ccm hawana cha ngome mwaka huu hizo ngome hawazithamin wameuwa viwanda bandar kuna cha ungome hapo alaf nimesahau katani watatoka juu ya bati
  8. R

    Jiji limezizima

    hali ilikuwa si shwar uwanjani watu walizimia kila dakika kutokana na kukosa hewa na msongamano hivo mkutano ukahairishwa kwa kuofia usalama wa watu ni hayo tu
  9. R

    Jiji limezizima

    Umati mkubwa uliojitokeza viwanja vya tangamano jijini Tanga umepelekea mkutano kuarishwaa ili kupunguza watu na kuendelea ndani ya dakika tano nasema haijawahi kutokea na haita tokea kweli Lowassa kipenz cha watu #viva lowassa #viva ukawa
  10. R

    Tume kutangaza matokeo ya urahisi kila kituo cha kura nchini

    tume imetangaza kuwa matokeo ya URAISI yatatangazwa kila kituo nchii source website ya tume ya uchaguzi
  11. R

    Majimbo 11 Ambayo UKAWA Wasipoteze Fedha Washapita

    takwimu tanga 2010 ccm chini ya nundu kura elfu 30 cuf chini ya mbaruk 27 elf na mbunge wa chadema 7 elf kwa tathmin yangu na mambo aliyoyafanya nundu ni dhair ccm wameshapoteza muelekeo tanga mjini
  12. R

    Maoni yangu baada ya uchaguzi

    habari za hapa jamvini kwa kile kinachoendelea kwenye siasa zetu vuta nikuvute za hapa na pale muamko wa watu katika siasa na ushabiki kuongezeka maradufu na pressure za hapa na pale kwa kile kinachotokea kwenye kampeni baada ya uchaguzi mambo haya kuwa kwenye chama kimoja wapo cha siasa kwa...
  13. R

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    akielezea vizur maana ya mabadiliko na mageuzi anaingizia mabadiliko ambayo watanzania hawataki rushwaa akaendeleea akagusia kuwa kiongozi mtarajiwa anatakiwa asiwe tajiri hapa akaeleza kuwa huyu mtu akiwa tajiri atakwepa kodi na kadhalka hivi kiongozi akiwa masikini siatajilimbikizia mali ya...
  14. R

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    ebwana eeh hapo kweli sera mbovu za ccm ndo zinatutesaaa mpaka leo saa hapa kwetu tanga unapunzika siku moja unarud siku moja lakini nafikir mkurugenzi wa tanesco tz anaficha ukweli saa hii inatia shaka kwa kweli hasa muelekeo wa uchaguz mbona Mungu atawaangaza safari hii na vitu visivojificha...
Back
Top Bottom