Recent content by qwer

  1. Q

    Ufafanuzi kuhusu matumizi ya unit za umeme kwenye Luku

    Tanesco na luku mna tatizo gan Leo?nimenunua luku tangia saa kumi alfajiri..mpaka muda huu sijapata token .msaada please make samaki wangu anaoza kwenye friji na Niko gizan na mtoto Mchanga. Msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Q

    Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

    Aache kulia achekwe??? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Q

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Aiseee...wafanye hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Q

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nyakato mwanza watumishi wenu wamezidi kwa rushwa jaman...pia kuna wengine wanatumia nembo ya tanesco kutuibia wateja...mifano ni mingi. Ukipeleka malalamiko kwa afisa usalama wa kanda ya mwanza unanyimwa fursa ya kuonana nae. Nikiweza ntawataja kwa majina na pia ofisi za Nyakato na mjni...
  5. Q

    Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

    Inabidi tukuombee..hamna namna Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Q

    AGHAKAN HOSPITAL

    Utakuwa miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hospital wakijua wanaumwa nini.zaidi Pima na VVU Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom