Ndoto yangu ni kufanya kazi kwenye kampuni zinahusika na gesi madini na mafuta nimeshatembelea kwenye ofisi zao napewa MAJIBU matamu ila naamini ipo siku kiu yangu mwenyezi Mungu atamtumia mtu kuitimiliza.
Afadhali hata useme ndugu ni kilio sema kila mtu analia kimya kimya, wanachofanya ni kujifanya wanatangaza bidhaa nyingine ili wakusanye pesa walipe wale waliotangulia kulipa pesa za mizigo. Hadi hapo na wenyewe watakapolipwa pesa zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.