Recent content by quraysh8137

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la jioni kutakuwa na sehemu ambapo TBC1 watakata mawasiliano

    kuna movie itakua inaendelea bungen
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    na bado damu ya Mwangosi itaendelea kuwalilia sana,,
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    damu ya Mwangos inawalilia
  4. Q

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    mkuu wa chama?.... nadhan hii iko Tz pekee
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    vyama vipo vingapi?.. umewaona hao tu,, daah mpe hi '' mkuu wa chama''
  6. Q

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    chama chake hicho kwanin wasimpe?..
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ukiacha salio katika simu yako mtandao wa vodacom umeliwa

    muda wa maongez
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Misungwi: Polisi wampiga mtu hadi kumuua

    tatizo ni mfumo,, walofeli ndio hao askari unadhan watatumia nn km sio kupigaa?..
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

    dogo mpuuz,, kupigwa hadharan anaona fahar??.... hili balaa kweli kweli
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wampiga 'stop' RPC Simiyu kukamata waganga wanaohusika na mauaji ya Albino

    ni wazi ccm imeshikwa pabaya kwenye hilo suala,, huyu anaagiza wakamatwe huyu anaahizwa wasikamatwe,,, huu mwaka sjuii
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mimba ya Zari

    mtoa mada jaribu kufikiri hata kwa kutumia akili za kukopa,, mimba ya Zari ww inakuhusu nn??
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Ezden na picha za aibu, nakupa pole

    A ntumie hiyo video... 0756958880
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ezden na picha za aibu, nakupa pole

    E ntumie hiyo kitu 0756958880
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    mzee Mangula kakubali kutumika,, DHAMBI imepiga kelele
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    naona hela ya kampen inataftwa kwa udi....... hili la diamond linatakiwa liwahusishe wasanii wote wanaokwepa kodi sio dogo peke yake..., kwa stil hii kampen atapiga tuu
Back
Top Bottom