Ukiacha salio katika simu yako mtandao wa vodacom umeliwa

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
unapoongeza salio au kuliacha kwa muda ktk simu yako hasa mtandao wa vodacom lazima uibiwe kisirisiri tumekuwa tukilalamika kitendo cha kampuni hii ya simu za mkononi kwa hujuma wanazofanyiwa watanzania lakini malalamiko yetu yanakuwa ni sawa na kumpigia mbuz gitaa.

je pesa zinakusanywa kwa minajili ipi? hiv hao tcra kwa nn wameminywa na hii mitandao? lazima kuna kitu kinafanywa na hii serikali yetu kila mtanzania ukimuibia shilingi mia kwa siku hao jamaa wanaiba pesa ngapi jamani kadirio la chini watumiaji wa huu mtandao wapo million mbili na bado hayo makampuni hayalipi kodi stahiki kwa serikali inauma sna uwezo wangu ni mia tano na bado inaibwa.
 
ni sawa kabisa hawa jmaa ck hiz ni wezi balaa mwenyewe yamenikuta
 
j.makamba yuko bussy na kampen za urais,na ndo mana EL anahitajika aje kuondoa huu upuuzi
 
Voda naona wamezidi kwa kukwapua salio linalobaki kwenye simu. Ila angalia inawezekana kuna huduma labda ulijiunga kwa hiyo wanakata kimya kimya.
 
unapoongeza salio au kuliacha kwa muda ktk simu yako hasa mtandao wa vodacom lazima uibiwe kisirisiri tumekuwa tukilalamika kitendo cha kampuni hii ya simu za mkononi kwa hujuma wanazofanyiwa watanzania lakini malalamiko yetu yanakuwa ni sawa na kumpigia mbuz gitaa.

je pesa zinakusanywa kwa minajili ipi? hiv hao tcra kwa nn wameminywa na hii mitandao? lazima kuna kitu kinafanywa na hii serikali yetu kila mtanzania ukimuibia shilingi mia kwa siku hao jamaa wanaiba pesa ngapi jamani kadirio la chini watumiaji wa huu mtandao wapo million mbili na bado hayo makampuni hayalipi kodi stahiki kwa serikali inauma sna uwezo wangu ni mia tano na bado inaibwa.

mie naona ni tigo juzi wamelamba elf 3 nzima, sijaweka hata data, voda sijui
 
Mkuu radica, kabla hujaongeza salio inabidi uka_uncheck kwenye mobile data na especially kama simu yako inatumia huduma za internet.

Uki_uncheck mobile data maana yake hautotumia internet kwa wakati huo, so salio lako utalitumia kwa calls za kawaida na sms.
 
Kwa upande mwingine ni kwamba Apps za internet zilizomo ktk simu yako zinazoendelea ku_run kwenye background ndio zinazokula salio lako.
 
ninapoongea sasa nmeshaliwa credit wakat hata data sijafungua voda kweli!
 
unapoongeza salio au kuliacha kwa muda ktk simu yako hasa mtandao wa vodacom lazima uibiwe kisirisiri tumekuwa tukilalamika kitendo cha kampuni hii ya simu za mkononi kwa hujuma wanazofanyiwa watanzania lakini malalamiko yetu yanakuwa ni sawa na kumpigia mbuz gitaa.

je pesa zinakusanywa kwa minajili ipi? hiv hao tcra kwa nn wameminywa na hii mitandao? lazima kuna kitu kinafanywa na hii serikali yetu kila mtanzania ukimuibia shilingi mia kwa siku hao jamaa wanaiba pesa ngapi jamani kadirio la chini watumiaji wa huu mtandao wapo million mbili na bado hayo makampuni hayalipi kodi stahiki kwa serikali inauma sna uwezo wangu ni mia tano na bado inaibwa.

Mkuu, hua unazima data (Internet) ukiweka salio? If not and kama unatumia smartphone lazima Ile salio lako
 
Radika,

Vodacom ni kiboko kwa wizi. Tatizo hilo linanikabili kila siku. Kosa nililofanya likaongeza matatizo ni kwamba nilijifanya kutuma SMS ya JAY MILLIONS. Hapo ndiyo nilifungua pandora box. Naibiwa kila siku hata siku ambayo sijatuma SMS.

Mchezo huo wa JAY ndio utapeli uliokithiri. Toka waanze wametoa zawadi ambazo hazizidi mara tano. Lakini ukisoma tangazo lao wansema kuna mshindi wa Milioni Mia Moja kila siku, Milioni kumi na milioni mkoja sijui wangapi wangapi. Ni uongo mtupu.

Uzuri ni kwamba wenzao wa kampuni ya Airtel wamekuja kuwaumbua. Wameanzisha mchezo wa kweli unaochezwa kwa uwazi na zawadi zinatolewa na hata wale wanaopata unaweza kugundua kwamba hawakutegemea na wala hawakuandaliwa kiujanja ujanja.

Lakini wasipo angalia wataharibu sifa ya kampuni yao bila kujua. Kuna uzi ulianzishwa kwenye jukwa la Habari Mchanganyiko ambapo aliyeanzisha alijifanya kuwa ana hisi kwamba mwanzilishi wa JAY MILLIONS ni James Rugemalila. Nachelea kusema kwamba aliye anzisha uzi ule ni wakala wa Airtel aliyekuwa na nia ya kuwadanganya watanzania ili washiriki kwa wingi kutokana na ukweli kwamba wengi tuna jua kwamba Rugemalila alipata mabilioni mengi kutoka kwenye account ya ESCROW. Naamini kwamba wanamuonea Rugemalila. Ni wajanja walio amua kutumia nafasi hiyo kuwaibia watanzania kutokana na dhiki zao na mahitaji ya pesa.

Nimefanya uchunguzi na kugundua kwamba huu ni mradi wa CCM kutafuta mapesa ya uchaguzi. Kwa kuwa share holders wa Vodacom ni makada, waliwahadaa na wao wakakubali kuhadaika jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa kampuni yao. TCRA hawana ubavu wa kuwa bana kwani nao wanajua huu ni mradi wa nani kwa lengo gani.

Hebu fikiria uwekezaji ambao wamefanya. Mtangazo kwenye media nyingi za kielektronic na zile za printing. Mabango nchi nzima. Vizuri watanzani wamewashtukia na wengi hawachezi, hivyo wamekula hasara.

Kilangila
 
ndio huwa nazima mkuu lakini wapi lazima niibiwe tu
 
naweza kuamini kuwa ktkt voda kuna makada wa serikalu yetu wanapiga pesa kwa mtindo huo wa kukata masalio ya muda wa.maongez kwa baadhi ya watumiaji wa huo mtandao na sio mara ya kwanza sisi kulamikia hilo suala wahusika wapo kimya kama hawajui vile hii ni zaid ya escrow
 
j.makamba yuko bussy na kampen za urais,na ndo mana EL anahitajika aje kuondoa huu upuuzi

Si nasikia huyo EL anashea yake pale vodacom pia anahusika na skendo ya vocha fek za vodacom kitu kama 2011 au na 12
 
Back
Top Bottom