Recent content by Quijote

  1. Quijote

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute, nimekosa la kufanya juu ya huyu binti!

    asante mkuu kwa ushauri mzuri
  2. Quijote

    JamiiForums Tanzania Makonda jifunze kushirikisha walio juu Serikalini kwenye mipango yako

    Hayupo instinct ktk kazi zake.....he is very politics motivated....hasa ktk jina lake
  3. Quijote

    JamiiForums Tanzania Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

    Salah muafrika vipi wakati Misri yenyewe sio mwanachama wa AU yeye anaji regard Muarabu
  4. Quijote

    JamiiForums Tanzania Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

    Jana alikosekana pepe wangemstaafisha soka kabisa Mo Salah maana hawaogopagi Red Card
  5. Quijote

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Waelewe Wanaume (Understand Men)

    sawa mkuu
  6. Quijote

    JamiiForums Tanzania Swali: Vijana wenzangu hivi kwanini hamumpendi Makonda?

    Wengi maoni yao wanasema Kiburi na Majivuno Kama Mkuu atapitia hapa angebadili upepo huo tu
  7. Quijote

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute, nimekosa la kufanya juu ya huyu binti!

    Asante sana Wakuu kwa ushauri wenu baada ya kukata kabisa ukaribu nae sasa hisia hazina nguvu nae.... nimeamua niachane nae kwa sasa kama wengi mlivyonishauri nilichogundua Kipimo cha upendo wa kweli ni uvumilivu Maana kwanini basi lichipuke na iwee na nguvu wakati yeye bado anasoma. Hisia...
  8. Quijote

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo nchi yeyote ulimwenguni, lakini yeye kuwekewa vikwazo inakuwa ngumu?

    Tuweni wakweli tu Russia alishindwa kufanya hivyo akiwa kama Soviet Union ataweza leo kweli? Huyu Russia juzi niliyemsikia Putin akilialia kwenye Bunge lake Marekani wailipe fidia Urusi kutokana na Vikwazo kuharibu uchumi wake??? Mkuu kuwa mkweli tu
  9. Quijote

    JamiiForums Tanzania Kumbe Martin Luther King Jr na Malcom X hazikuiva

    Malcolm X alikuwa harakati zake zimebebwa na chuki sana tofauti na King Jr
  10. Quijote

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute, nimekosa la kufanya juu ya huyu binti!

    kweli mkuu
  11. Quijote

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute, nimekosa la kufanya juu ya huyu binti!

    sante kwa ushauri
  12. Quijote

    JamiiForums Tanzania Swali: Vijana wenzangu hivi kwanini hamumpendi Makonda?

    Mkuu hakuna neutral duniani hata kumuheshimu tu mtu kuna pande mbili ndani yake kumpenda au kumuogopa
  13. Quijote

    JamiiForums Tanzania Swali: Vijana wenzangu hivi kwanini hamumpendi Makonda?

    Hakuna maelezo zaidi ya hapo
Back
Top Bottom